U.F.O 2018

U.F.O 2018

think center

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
485
Reaction score
529
Habari ndugu zangu,
Niende moja kwa moja kwny hoja, nimetoka kuangalia movie 1 inaitwa UFO ya mwaka 2018, ama kwa hakika ni 1 kati ya movie bora kuwai kuektiwa kwa kipindi cha hivi karibuni,
Kwa ambao mshaitazama karibuni tushee maujanja..
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo ndio ukaamua uje ufungue thread?

Kitu kinaweza kuwa bora kwako ila kwa wengine kikawa cha kawaida.
 
Dah sijaangalia bongo movie kitambo sana mkuu, nikisafiri navaa earphone napiga mziki. Ila kama ni kali hongera zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U.F.O( unidentified flying objects) haiwezi kuwa ya kibongo watawezaje kwa mfano maana bila shaka lazima kuwe na technology ya hali ya juu kiasi cha kuamini kuwa ni aliens kama inavyodhaniwa
 
Back
Top Bottom