TZ yapewa tende na Saudi Arabia

Ukitaka tende chukuwa lakini magulu panuwa!........
Huo ni msaada kwenda Bakwata na Shura ya maimamu, hakuna mtu makini anayeweza kuintatain vitu vya kijinga kama hivi, ningeomba alieleta thread hii afanye editing haraka sana na aondoe neno kwamba Tanzania tumepewa msaada wa tende na Saudi Arabia!!

Kaazi kweli kweli! Yafaa ukapimwe ubongo wako huenda umechaanganyika na kinyesi cha NOAH!!
 
Tumepewa tende alafu watu wawaombe tiGo mkatae...........mtazitema.........wataznaia kuweni makini.......hivo vitu vitamu vitamu ni sooo
 
Mbona umechanganya mambo? Al bawady na tende wanahusiana nini, waliotoa tende wa Saudi al bawady wa emirate!

Tende ni "symbol" ya urafiki kwa mwaarabu, anakupa tende kuonesha kuwa anakuthamini na anathamini urafiki wako nae. Mwaarabu hampi tende asiye mthamini. Tende kwa miaka, vizazi na vizazi, toka nchi za kiarabu hazijawa na utajiri wa mafuta hicho ndio chakula chao, tunda lao na tende na mtende huwa na thamani kubwa sana kwao.

Ahsante Saudi Arabia kwa hii symbol ya urafiki.

Mkuu nimeandika kwa lugha ya taifa hebu soma kwa utulivu ndo uchangie. hili ni jukwaa la siasa na sio chit chat
 
Back
Top Bottom