Tz To Invade Ug?

Kenyan-Tanzanian

JF-Expert Member
Nov 7, 2006
302
0
Wakubwa naomba kuelimishwa. Hii ni kutereza kwa ulimi au ni nini?

[media]http://www.youtube.com/watch?v=4fGZYOs7hOM[/media]
 

Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
14,457
2,000
Hajataleleza ulimi.
Sema raisi ametoa mifano hiyo kwa kutumia vita ya Kagera ya mwaka 1978-1979, ya kumuondoa Idd Amin wa Uganda, ambapo mbinu za namna hiyo ndizo zilizotumika.
Hakuna vita hapo mkuu, uwe salama tu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom