Twitter yangu haifanyi kazi

Twitter yangu haifanyi kazi

Calvinhood01

Member
Joined
Dec 31, 2020
Posts
21
Reaction score
8
Habarini za saizi wadau, Twitter yangu inasumbua inagoma ku login na bando lipo msaada wenu wadau.
 
Mimi ya kwangu ina zaidi wiki 3 ama mwezi kabisa niliUpdate lakini shida iko pale pale kulog in inagoma nimeachana nayo.
 
0659010.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom