gwahe
Senior Member
- Nov 24, 2014
- 147
- 84
Wana MMU.
Naombeni ushauri. Nimekuwa na date na msichana mmoja, for a serious relationship for marriage. Always tukitoka out tunakwenda na pacha wake.
Sasa jana huyo msichana ameniambia, wao ni mapacha na wanapendana sn. Hawawezi kuachana na hata baada ya ndoa, kwa hiyo itatubidi tuishi naye. Pia akasema twin wake anashauri waolewe na mtu mmoja.
Naombeni ushauri, should I go and marry both. Je kuna faida yeyote au madhara yeyote. Je naweza kuacha kuchepuka kama nikioa wote?