Vituka
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 2,269
- 1,269
kumbe mnapima ili mringe ahaaaaahahaaaa!
Kuringa inakuja automatically kutokana na majibu! Ushaelewa????
kumbe mnapima ili mringe ahaaaaahahaaaa!
Mimi napima mara kibao kama kunywa maji,pamoja na kutumia condom lazima nimpime.
Nilipima na tokea hapooo nimeacha. Usiulize nilichokiacha.