Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,095
- 143,324
sasa msipopima mtafanyaje?
kama unanipenda kweli lazima tupime
kama ni one night stand ndo za mipira
inategemea na swaga zako kama unatangazaga ndoa wakati unataka tu papuchi short time lazima ile kwako
unaogopa kupima nyani?I see..
Hao madada wenyewe wanajiamini? Boy friend wa huyu kesho ametoka na yule mbona tunapakana tu mjini hapa. Usidanganyike na hiyo hali ya kupima wengine wanakua na undetectable status, usiache kuvaa gwanda mpaka umfahamu vizuri.
unaogopa kupima nyani?
Hili ni janga la dunia ndugu yangu halina wa ulaya wala wa Namtumbo. Ulielala nae leo kesho anapata visa ya UK akifika anaanza. Don't judge the book by it's cover.sikujua kama wabeba box nao wanaogopa kupima
kumbe nako kuna hiv ?
twendeOh nooo....mi siogopi.
Twende tukapime hata sasa hivi.....
twende
Mwanaume kabla hajapata kila utakachomwambia atakubali kufanya.Kuna mmoja nilikuwa nammezea mate.Nikatupa ndoano ikanasa.Tukiwa mahali tunapiga stori akanambia kama wataka yale mambo kapime kaka.Nikamwambia ntaenda kesho.
Na kweli sikujivunga kwenda kupima ingawa moyo kwa mbaaali ulikuwa unadunda.
Nkaenda kupima nikapata cheti safi. Kesho yake mzigo ukashughulikiwa.
Chagua moja: Masana au kwa Mama Ngoma....
sasa utapimaje peke yako?Kuna mmoja nilikuwa nammezea mate.Nikatupa ndoano ikanasa.Tukiwa mahali tunapiga stori akanambia kama wataka yale mambo kapime kaka.Nikamwambia ntaenda kesho.
Na kweli sikujivunga kwenda kupima ingawa moyo kwa mbaaali ulikuwa unadunda.
Nkaenda kupima nikapata cheti safi. Kesho yake mzigo ukashughulikiwa.
Kwani wao wanatumia vifaa tofauti na hospitali zingine?AMREF Upanga ndiyo ninawaamini.
Haa haa haaa haa lakin kuna kaukweli flan hapasasa msipopima mtafanyaje?
kama unanipenda kweli lazima tupime
kama ni one night stand ndo za mipira
inategemea na swaga zako kama unatangazaga ndoa wakati unataka tu papuchi short time lazima ile kwako