Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,763
- 284,783
Nimenusa hilo jambo , unakumbuka mwisho wa sakata la samaki ?Container movie imeisha TRA wameisha aminisha Uma Sasa subiri siku ya kugawiwa bure
Nimenusa hilo jambo , unakumbuka mwisho wa sakata la samaki ?Container movie imeisha TRA wameisha aminisha Uma Sasa subiri siku ya kugawiwa bure
Tusha wazoea kwa kutufanya mazuzu ila wanajidanganya maana mazuzu yamebakia ndani ya ccmNimenusa hilo jambo , unakumbuka mwisho wa sakata la samaki ?
Kumbe hapa Bashite alimlenga Mtaka.'Mimi Mkoa wangu naongoza walevi, watumia dawa Za kulevya, Malaya, matapeli ,mabalozi Na Viongoz. Wengine wanaongoza wakulima tu'- Mwenye Mkoa wake
Wote tuHAKUNA MTU MNAFIKI HUKO CCM KAMA NAPE
Mwenye kipande chake cha nchi.'Mimi Mkoa wangu naongoza walevi, watumia dawa Za kulevya, Malaya, matapeli ,mabalozi Na Viongoz. Wengine wanaongoza wakulima tu'- Mwenye Mkoa wake
Mwenye kipande chake cha nchi.
Ana maneno ya kijinga kabisa yaani sisi wakaazi wa dsm ni walevi na malaya na watumia madawa ya kulevya?Kumbe hapa Bashite alimlenga Mtaka.
Huyu mtu sijui mbali ya lemutuz kama ana rafiki mwingineMwenye kipande chake cha nchi.
Lemutuz hadi umri ule anakula kwa baba yake unategemea ataongea jambo gani lenye kujenga nchi?Lemutuz anamwita Field Mashal hahaha Amiri Jeshi wa Dar wa salaam
Ana maneno ya kijinga kabisa yaani sisi wakaazi wa dsm ni walevi na malaya na watumia madawa ya kulevya?
Ametudhalilisha sana na anatakiwa atuombe radhiHahahaha
Si Kweli lakin Swaaheeb
Ametudhalilisha sana na anatakiwa atuombe radhi
Hata kitwanga alikuwa anjiamini hivyoMakonda Sio Mtu wa mchezo mchezo
Anne Kilango alifukuzwa Kwa Kosa la kukosea orodha ya Wafanyakazi hewa laki Huyu mpaka Sasa anapeta tu
Nape hayupo CHADEMA!Makonda kwa muda mfupi amekuwa kiongozi lkn tayari ameacha alama za kutosha . Hata kama humpendi bado utaitumia wodi ya mama na mtoto pale mwananyamala,
Bado utayatumia magari ya polisi
Bado utazitumia shule zinazojengwa .
Nape wewe ni kiongozi wa muda mrefu kuliko Makonda lkn utakumbukwa kwa lipi??
Ni jengo gani uliloacha??
Chadema ni wapingaji wakubwa lkn ndiyo wa kwanza kusogeza pua zao kwenye huduma za Makonda.
Makonda kwa muda mfupi amekuwa kiongozi lkn tayari ameacha alama za kutosha . Hata kama humpendi bado utaitumia wodi ya mama na mtoto pale mwananyamala,
Bado utayatumia magari ya polisi
Bado utazitumia shule zinazojengwa .
Nape wewe ni kiongozi wa muda mrefu kuliko Makonda lkn utakumbukwa kwa lipi??
Ni jengo gani uliloacha??
Chadema ni wapingaji wakubwa lkn ndiyo wa kwanza kusogeza pua zao kwenye huduma za Makonda.