Tweet ya Nape inamlenga nani anaekurupuka mipango

Tweet ya Nape inamlenga nani anaekurupuka mipango

Makonda ni kama MTU anayedondoka kwenye mnazi, sio kwa kasi hii ya ghafla kila mtu anakuona kinyesi. Hata daddy?
Au ndiyo yale tuliyo ambiwa Gamboshi nayo ina expire?
 
'Mimi Mkoa wangu naongoza walevi, watumia dawa Za kulevya, Malaya, matapeli ,mabalozi Na Viongoz. Wengine wanaongoza wakulima tu'- Mwenye Mkoa wake
Umemuona kiongozi wako unaye mteteaga kila siku?
 
Makonda kwa muda mfupi amekuwa kiongozi lkn tayari ameacha alama za kutosha . Hata kama humpendi bado utaitumia wodi ya mama na mtoto pale mwananyamala,

Bado utayatumia magari ya polisi

Bado utazitumia shule zinazojengwa .

Nape wewe ni kiongozi wa muda mrefu kuliko Makonda lkn utakumbukwa kwa lipi??
Ni jengo gani uliloacha??

Chadema ni wapingaji wakubwa lkn ndiyo wa kwanza kusogeza pua zao kwenye huduma za Makonda.
Wewe bwege nini?hayo yote uliyoyataja alikuwa anatumia fedha zake za mshahara?mbona mnakosa haya kabla ya kutetea mambo ya ajabu?
 
Sometimes Kuna vitu Kama hujui ungeuliza ... Aliekwambia wodi ya mama na mtoto ni mpango wa makonda ni Nani ... Na kwa Nini ...

Kwa kujipakazia Sasa ... Ndio maana Mtama kampiga bao ... Kwa makelele
Msamehe mkuu huyo ana akili sawa na kiwewe
 
Nape ana maumivu makali...
nyie ni watu wa ajabu sana sana. kwamba ati huyo makonda akikosea yyte anayemsema anamchukia ni ujinga wa level gani sijui! jaribuni basi kidogo kuwasisitiza hao watu wenu wajue hata wanachosimamia! jerry murro anatufanya cc watanzania wote tuonekane matahira. dunia inalalamika ongezeko la watu lisiloendana na rasilimali zilizopo anatokea kiongozi mkubwa ili tu apigiwe makofi na kuandikwa kuwa ni masia mpya. anahimza watu wazaane kwa wingi bila kujua kuwa hata ajira kwa wahitimu wa vyuo zimemshindananyi mnashangilia mkidhani kuna mtu mnamkomoa? maumivu makali ya nape yanahusiana nani? jiongeze wewe
 
Kwani asingefanya hayo yote ulitegemea awe kafanya nini ? Si ni wajibu wake ? Kwa nini watu waone kawafanyia hisani ? Walipita hapa kina mzee Makamba, hayati Abbas Kandoro ...nao walifanya yao !
Afadhali Kandoro kawacha alama ya kumkumbukia kwa kunywa maji yaitwayo kandoro
 
Sema Nape amemlenga nani?
kamlenga mtume wa dar, wa arusha wa iringa wa mbeya wa manyara n.k

Lkn sasa hii mbinu ,itakuja mfanya Mkuu asimpe kitengo zaidi mtaka..kwamaana mtaka kapata sifa toka adui rafiki
 
Back
Top Bottom