leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,439
- 1,850
Mtama
amelengwa RC ila sijui wa wapi?
Container movie imeisha TRA wameisha aminisha Uma Sasa subiri siku ya kugawiwa bureamelengwa RC ila sijui wa wapi?
siyo yule wa containers kweli?
Sometimes Kuna vitu Kama hujui ungeuliza ... Aliekwambia wodi ya mama na mtoto ni mpango wa makonda ni Nani ... Na kwa Nini ...Makonda kwa muda mfupi amekuwa kiongozi lkn tayari ameacha alama za kutosha . Hata kama humpendi bado utaitumia wodi ya mama na mtoto pale mwananyamala,
Bado utayatumia magari ya polisi
Bado utazitumia shule zinazojengwa .
Nape wewe ni kiongozi wa muda mrefu kuliko Makonda lkn utakumbukwa kwa lipi??
Ni jengo gani uliloacha??
Chadema ni wapingaji wakubwa lkn ndiyo wa kwanza kusogeza pua zao kwenye huduma za Makonda.
Makonda ndio hawezi msahau napeNape ktk maisha yake hatoweza kumsahau makonda
Mokonda alimtoa kwenye ugali
Jiulize kwanini chama Tawala kinanunua madiwani na wenyeviti wa vijiji?Makonda kwa muda mfupi amekuwa kiongozi lkn tayari ameacha alama za kutosha . Hata kama humpendi bado utaitumia wodi ya mama na mtoto pale mwananyamala,
Bado utayatumia magari ya polisi
Bado utazitumia shule zinazojengwa .
Nape wewe ni kiongozi wa muda mrefu kuliko Makonda lkn utakumbukwa kwa lipi??
Ni jengo gani uliloacha??
Chadema ni wapingaji wakubwa lkn ndiyo wa kwanza kusogeza pua zao kwenye huduma za Makonda.
Ni huyo Paul Makonda !amelengwa RC ila sijui wa wapi?
siyo yule wa containers kweli?
Kwani asingefanya hayo yote ulitegemea awe kafanya nini ? Si ni wajibu wake ? Kwa nini watu waone kawafanyia hisani ? Walipita hapa kina mzee Makamba, hayati Abbas Kandoro ...nao walifanya yao !Makonda kwa muda mfupi amekuwa kiongozi lkn tayari ameacha alama za kutosha . Hata kama humpendi bado utaitumia wodi ya mama na mtoto pale mwananyamala,