tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,896
- 19,754
Dada wamekusikiaHana hamu...ukipewa Uhuru tumia vizuri Uhuru uliopewa
Dada wamekusikiaHana hamu...ukipewa Uhuru tumia vizuri Uhuru uliopewa
Amejifunza, Siasa sio uhuniAmeachiwa Kwa mbinde usiku huu kwa Masharti ya kuwa na wadhamini wawili , hata hivyo anatakiwa kuripoti tena polisi tarehe 8/7/2022 .
Tulishasema tangu awali kwamba Polisi haina hata sababu moja ya ukweli ya kukamata vijana wa Chadema , oneni wenyewe , unamkamata kijana wa watu unamzungusha mavituo yoooote , tena kwa gharama ya serikali , halafu unamuachia bila hata kumpeleka mahakamani !
Nachukua nafasi hii kuwashukuru wale wote waliopiga kelele kila mahali hadi watesaji wakaona Aibu na kumwachia , LEO NI MWAIPAYA , JUZI NI MO , KESHO NI WEWE , ni lazima tushirikiane kupinga Uharamia .
Mdude sio chizi atoe lugha kali bila sababu, madhila wanayofanyiwa makusudi ndio yanasababisha hali aliyonayo, na huwezi kumkwaza mtu kwa makusudi halafu utegemee akuchekee, labda awe taahira.Nikisikia mtu kama Mdude Chadema amekamatwa na Polisi kamwe siwezi kumuonea huruma, kuna baadhi ya vijana wa hovyo sana chadema, na Mwenyekiti Mbowe alishawaambia waache kutukana viongozi mitandaoni, halafu mbaya zaidi unatukana kwenye mitandao ambayo unajurikana wazi kama Facebook, dakika sifuri tu stono wanakutia pingu.
Mwendazake anahusika?Ameachiwa Kwa mbinde usiku huu kwa Masharti ya kuwa na wadhamini wawili , hata hivyo anatakiwa kuripoti tena polisi tarehe 8/7/2022.
Tulishasema tangu awali kwamba Polisi haina hata sababu moja ya ukweli ya kukamata vijana wa Chadema , oneni wenyewe , unamkamata kijana wa watu unamzungusha mavituo yoooote , tena kwa gharama ya serikali , halafu unamuachia bila hata kumpeleka mahakamani!
Nachukua nafasi hii kuwashukuru wale wote waliopiga kelele kila mahali hadi watesaji wakaona Aibu na kumwachia , LEO NI MWAIPAYA, JUZI NI MO, KESHO NI WEWE, ni lazima tushirikiane kupinga Uharamia.
Swali lako bovuMwendazake anahusika?
Bavicha bure kabisa
Kila ubaya utalipwaHahaha..........!
Na bado
Binadamu wameumbwa kusahauKila ubaya utalipwa
Ahahahaa umenikumhusha mbali sana, uliposema mtondooWalau kaijua harufu ya mtondoo
.Ujinga wa Bavicha ndio huu, kila mtu ambaye hakubaliani na tabia za kipumbavu na kifala mnasema kalamba asali, haya Peter Msigwa ameshahamia ccm?Mdude sio chizi atoe lugha kali bila sababu, madhila wanayofanyiwa makusudi ndio yanasababisha hali aliyonayo, na huwezi kumkwaza mtu kwa makusudi halafu utegemee akuchekee, labda awe taahira.
N.B.
Vipi leo, umeshalamba asali lita ngapi?
chunga sana usije kuharisha!.
WENZAKO SIYO WAOGA KAMA WEWENikisikia mtu kama Mdude Chadema amekamatwa na Polisi kamwe siwezi kumuonea huruma, kuna baadhi ya vijana wa hovyo sana chadema, na Mwenyekiti Mbowe alishawaambia waache kutukana viongozi mitandaoni, halafu mbaya zaidi unatukana kwenye mitandao ambayo unajurikana wazi kama Facebook, dakika sifuri tu stono wanakutia pingu.
Nyerere angewaza hivi wakoloni wangekuwepo hadi leoUjinga wa Bavicha ndio huu, kila mtu ambaye hakubaliani na tabia za kipumbavu na kifala mnasema kalamba asali, haya Peter Msigwa ameshahamia ccm?