TV used Vs New brand TV

TV used Vs New brand TV

Chukua tcl kama huna watoto wadogo nyumban ,kingine viyoo vya flat vina miaka ya kuishi vingi miaka Saba sasa ukichukuwa used anything can happen
 
Asanteni wadau wote. Unajua sometimes ni bora uoneshe ujinga wako, utasaidiwa kuliko kujidai unajua.

Mmenisaidia sana.
Mkuu hebu nielekeze hilo duka la tv used lipo wapi?Nataka tv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom