Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 2,003
- 4,358
Unajikuta zako umeweka Dark mode Kuna kamtu kanakuja kukuharibia mambo zako. Inakera sanaPunguza taa 🤭
Unajikuta zako umeweka Dark mode Kuna kamtu kanakuja kukuharibia mambo zako. Inakera sanaPunguza taa 🤭
Hahaaa we kasirika tu, nitakupa kitu utulie ila sio kubadilisha..Unajikuta zako umeweka Dark mode Kuna kamtu kanakuja kukuharibia mambo zako. Inakera sana
Natafuta Fundi abadilishe mlango kabisa sio kitasa.Hahaaa we kasirika tu, nitakupa kitu utulie ila sio kubadilisha..
😂😂 Dogo huo ugomvi sijui utausovia mkoa gani..Natafuta Fundi abadilishe mlango kabisa sio kitasa.
Kwako huko huko... nakupiga bila Jasho😂😂 Dogo huo ugomvi sijui utausovia mkoa gani..