Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
Kesi ni ushahidi, kama unaushadi usio na mashaka unashinda. Mbona Wassira pamoja na kuwa Kigogo wa Ccm wale wapambe wake walishindwa kesi na Ester Bulaya? Mahakama ni mhimili huru.Haupendelei mtu wala chama.Yaani polisi wafanye uovu kisha ukawashitaki mahakamani, unajua unachoongea? Wanaowapa amri hao polisi kunajisi uchaguzi, ndio wanaoipangia mahakama jinsi ya kuendesha kesi.