Pascal kwa hiyo unamleta huyo Ramadhani Kailima ili ajibu hoja??kwa nini sasa na sio mara baada ya uchaguzi??unataka kufanya hivyo ili iweje??unataka kuwaunga mkono kujisafisha kwao??kwa ushauri tu waachie dhambi yao wenyewe vinginevyo na wewe utaichuma hiyo dhambi,wamekaa kipindi chote wanaona mzimu unawaandama sasa wameona waanzishe kampeni ya kujisafisha hawatasafishika kamwe na wewe uache kujikomba kwao kwani sidhani kama JF imekutuma ufanye hivyo.