Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,765
- 32,389
Hili ni swali ambalo imebidi niulize maana nmeshtushwa na jambo moja.
Juzi nlikuwa na Unit 3.9 za umeme na nliacha TV ilipige kazi kuanzia saa 11 mpaka tano usiku. Taa tatu zilikuwa zinawaka feni muda wote huo, na fridge.
Asubuh nikawa nmebakiwa na Unit 2.3nikawa nmezima kila kitu nmeenda job nmerudi saa 12. Nikawasha Laptop,nikawasha Fridge, taa za nje tatu za ndani tatu na feni ikawa inafanya kazi kuanzia muda huo.saa mbili nikazima taa mbili zikabaki nne na feni.wakati wote laptop ipo on.saa sita nikacha fridge, taa tatu za nje,feni na laptop. Kufika saa kumi alfajili meme luku imeisha.
Je inawezekana laptop ikawa inakula umeme mwingi kuliko TV? TV yenyewe ni Samsung Smart Tv. Laptop ni Toshiba siyo hizi zinazouzwa toka China.