Hapo kwenye nyekundu wakristu kwenye miraadi ya kijamii kama uliyoitaja , wao husema zinazosaidia Watanzania. Umeelewa tofauti?Tv imaan yapata kibali rasmi. Tv hii inaendeshwa na islamic foundation.
Licha ya islamic foundation kumiliki tv. Pia ina redio na shule za sekondari.lakini inamiliki zahanti nyingi hapa nchini zinazosaidia waislam na wasiokuwa waislam
pia ni taasisi iliokaribu sana na chuo kikuu cha waislam morogoro ambapo mwenyekiti wa islamic foundation ndie mshauri mkuu wa fedha chuoni.
Ninachokiona humu kwenye jf ni ukiristo na ukiristo na ukiristo. Suala lolote linalohusu wafuasi wa dini ya kweli, dini ya Mjumbe wa Allah (SWT) ambae ni Mtume Muhammad (SAW), hupigwa vita vya hali ya juu. Hamuna uvumilivu. Why ????
Your words utter non sense. You can go to hell.Ndugu yangu ugaidi sio monopoly ya Waislam hata Wakristu magaidi wapo tena wengi. Umesahau mara hii yale ya IRA, LRA na karibuni Ant-Sekela pale CAR? Watu waovu wapo kote kwa Wakristu na Waislam kwa hiyo usipate shida kutumia nguvu nyingi kutukana Waislam.
Halafu hata huyo Yesu hakuja kufundisha wafuasi wake kutukana wasio mwamini. Sitashangaa huyo Yesu akakukana siku ya kiyama maana unafanya yale ambayo yeye asingefanya kama kutukana, kueneza chuki badala ya upendo na kukosesha amani baina ya wanadamu.
Kasome upya Biblia yako utaona kuwa wewe si mfuasi wa Yesu kama utaendelea na tabia yako hiyo.
wagalatia mtahangaika sana mwaka huu.
Sidhani Kama ugaidi ni tusi.Hivi mbona unautusi Uislam kiasi hicho?
Your words utter non sense. You can go to hell.
Sidhani Kama ugaidi ni tusi.
hata zitto na arfi wanapigwa vita ndani ya chadema kwa sababu ni waislam tu. WANGALIKUWA WAKIRISTO unadhani makanisa yangalikuwa yafanya vikao vya siri kuwaunganisha. Wakiristo wamejiapanga kila kona
Ayaaah kipofu kaona yani hawa jamaa wakipata tv hutalala tena kiongozi awe illunga au basaleh
Tv ni ya waislamu sasa wakristo kinawauma nini jamani.
Ninachokiona humu kwenye jf ni ukiristo na ukiristo na ukiristo. Suala lolote linalohusu wafuasi wa dini ya kweli, dini ya Mjumbe wa Allah (SWT) ambae ni Mtume Muhammad (SAW), hupigwa vita vya hali ya juu. Hamuna uvumilivu. Why ????
Ninachokiona humu kwenye jf ni ukiristo na ukiristo na ukiristo. Suala lolote linalohusu wafuasi wa dini ya kweli, dini ya Mjumbe wa Allah (SWT) ambae ni Mtume Muhammad (SAW), hupigwa vita vya hali ya juu. Hamuna uvumilivu. Why ????
Ndugu yangu utapigwa ban ya nguvu,, mimi nilishapigwa ban kibao kisa eti mdini kwa kuchangia kawaida tu,, ila wao waanapomuita mtume wetu mbakaji ,, gaidi utakuta threds zinadumu,,, kwa taarifa yako kesho yawezekana usinione tena hapa,, ban .. ban,, hapa mfumo unatumika si bure
Kufa pekeyako tu.Twafa wakuu.