Tv imaan yapata kibali rasmi

Status
Not open for further replies.

Naomba unithibitishie kama huyu mtu anasema uongo au
 
Last edited by a moderator:
Kwenye baraza la mawaziri litakalo teuliwa hivi punde naomba niwe waziri wa elimu. nitahakikisha wanafunzi wote std one mpaka tertiary wanabadili dini na kuwa wakristo kama wakati wa mkoloni. husomi mpaka uwe mkristo
hapo umembadili kiroho au kimwili,mbona hamueleweki,si huwa mwaingia uchi kwenye ibada,na mwasema mko kiroho sio kimwili.
 

Kama nyie Waislam mnasema Yesu hakufa Msalabani bali mwili wa Yuda ulikuwa transformed ukaonekana kama ni Yesu na ndie aliyeteseka Msalabani inamaana Yuda ndie aliyekuwa analia Swali alikuwa anamlilia nani?
 
hata zitto na arfi wanapigwa vita ndani ya chadema kwa sababu ni waislam tu. WANGALIKUWA WAKIRISTO unadhani makanisa yangalikuwa yafanya vikao vya siri kuwaunganisha. Wakiristo wamejiapanga kila kona

Unajua unachokiongea kina madhara sn ktk jamii? Kwanza hicho unachokisema sio kweli kabisa! Kwanini useme uongo kweupe? Unataka kusema hii Hali ndivyo tunavyoishi mitaani?

Tumuogope Mungu na kusimamia ukweli na haki!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…