TV Channels setting-msaada

Raimundo

JF-Expert Member
May 23, 2009
13,416
12,604
Habari maintellegensia, TV yangu imeroga wazeya. Naomba msaada wa settings kwa local channels; vitu kama Frequencies, SR, polarisation n.k. Nimekwama kitu hakisomi ITV, EATV, ch10, Tbc, Star TV na ATN mpaka bunge sioni watu wangu.
Msaada tafadhali.
 
Kama huna ujuzi katika Receiver settings ,peleka reseiver yako kwa watu wanaofanya Instalation ya channel hizo
kama una ujuzi kidogo mimi nakupatia namba za channel ten ingiza hizi.

Freq 39056,Sr 284835,Fec 2/3.
 
Habari maintellegensia, TV yangu imeroga wazeya. Naomba msaada wa settings kwa local channels; vitu kama Frequencies, SR, polarisation n.k. Nimekwama kitu hakisomi ITV, EATV, ch10, Tbc, Star TV na ATN mpaka bunge sioni watu wangu.
Msaada tafadhali.

Piga number hii na mtu huyu atakusaidia 0713328787
 
Cheap Decoder utapata channel zote za kibongo (ITV, EATV, CHANNEL 10, CLOUDS TV, STAR TV, TBC1, CHANNEL 10, C2C, DTV,MLIMANITV, TV TUMAINI N.K.) plus nyingine za NJE movie channels, news channels, sports channels, religion channels and music channels. zipo channel za kenya na uganda. What else do you need?

Subscription ilikua abt Tsh. 150,000 sijui imefika kiasi gani sasa hivi.

Monthly unalipa Tsh. 10,000

Mkuu utasahau kuzungusha antenna.
 
Mkuu hapo kwenye rangi,je nikiwa nje ya dar naweza kuzipata pia .
 
mkuu sijui mambo ya mkoani. Mi niko Dar.

Tusubiri wadau wengine waingie maybe they can help
 
Cheap Decoder utapata channel zote za kibongo (ITV, EATV, CHANNEL 10, CLOUDS TV, STAR TV, TBC1, CHANNEL 10, C2C, DTV,MLIMANITV, TV TUMAINI N.K.) plus nyingine za NJE movie channels, news channels, sports channels, religion channels and music channels. zipo channel za kenya na uganda. What else do you need?
Mkuu utasahau kuzungusha antenna.

Wanapatikana wapi hawa mkuu....... Startimes au..
 
Kuna wakala flani wako barabara ya Lufungila kabla Hujafika Meeda bar upande wa kulia
 
Cheap Decoder utapata channel zote za kibongo (ITV, EATV, CHANNEL 10, CLOUDS TV, STAR TV, TBC1, CHANNEL 10, C2C, DTV,MLIMANITV, TV TUMAINI N.K.) plus nyingine za NJE movie channels, news channels, sports channels, religion channels and music channels. zipo channel za kenya na uganda. What else do you need?

Subscription ilikua abt Tsh. 150,000 sijui imefika kiasi gani sasa hivi.

Monthly unalipa Tsh. 10,000

Mkuu utasahau kuzungusha antenna.

Mkuu shukrani sana kwa habari hii ya kuvutia. Hawa watu huwa naona kibao chao maeneo ya victoria barabara ya bagamoyo jirani kabisa na taa za moroco. Ninacho omba kujua, je ni lazima kuwa na dish au wana system kama ya startimes?
 
same system as startimes but much better..more local and foreign channels...wide coverage...9,000 monthly na wana uzoefu zaidi maana walianza muda mrefu kabla ya startimes
 
Startimes ni wehu tu, tecknologia yao ni ya kichina kama zilivyosimu za kichina tangu ninunue kingamuzi cha startimes chanel zote zimepotea afu nikienda ofisini kwao napgwa kalenda, anyway kama hawa easy decoda wanekuja na innovations za namna hiyo itakuwa poa, but mbona hawajitangazi kama wenzao wakati biashara ni matangazo nasema hivyo kwasababu mi pia ndo kwanza nawasikia leo!
 
Back
Top Bottom