dafity
JF-Expert Member
- Aug 16, 2008
- 1,858
- 2,059
Hivi hamna ratiba ya vipindi? Kila wakati mnaweka hilo Li chaneli KFS kwani hamna vipindi vyenu?
Mnarudia mavipindi hovyo hovyo tu mtakavyo ninyi. Mjue nasi watazamaji tuna Haki zetu. Nawaangalia ninyi kwa sababu mna picture quality bora kuzidi TV zote hapa TZ ila mnakera hamna vipindi vinavyovutia wala mpangilio mzuri.