Tuzo za kimataifa zamnyemelea Godbless Lema

Tuzo za kimataifa zamnyemelea Godbless Lema

Labda tuzo za al shabab na za waasi wa sudan kusini, na za Boko haram
 
Hata yule aliyependekeza Bangi ihalalishwe anafaa naye kupewa tuzo ya kimataifa!
 
Mwanyamaki, ubunge umekushinda Kyela, ukadanganya kwenda mahakamani lkn umeishia kudanganya basi acha uongo
Mkuu mimi naitwa Erythrocyte , siitwi Mwanyamaki .
 
kua nje ya jf hata masaa mawili unakosa haki nyingi sana za msingi ikiwamo kucheka sana,japo sikuchelewa sana nacheka kidogo teh teh teh teh,dunia hii ni zaid ya furaha yaani lema huyuhuyu anatambulika kimataifa jaman!!
 
Hiyo tuzo nahisi itatoka kwa Mzee mtei
 
Lema huyu huyu aliechochea watu waandamane wakapigwa risasi
Watu waliamua kuandamana kwani lema aliwafunga minyoror? Kupigwa kwao risasi ni aibu ya serikali iliyopo madarakani, unamuua mtu alieamua kutembea mwenyewe barabarani? si ujuha huu.
 
kua nje ya jf hata masaa mawili unakosa haki nyingi sana za msingi ikiwamo kucheka sana,japo sikuchelewa sana nacheka kidogo teh teh teh teh,dunia hii ni zaid ya furaha yaani lema huyuhuyu anatambulika kimataifa jaman!!
Mshahara wa dhambi ya dharau ni mauti .
 
Back
Top Bottom