Lema ni kijana shupavu, jasiri na mpenda haki kwa Tanzania watu kama hawa huonekana maadui kwa kuwa tu wanazuia dhuluma kwa wanyonge na mabepari hawalipendi hili, mapepari ya ccm wanamkubali sana ila wanaogopa kuitwa magamba kwa kumpa sapoti Lema, hakika sijawahi kujutia kumpa kura yangu shujaa wa taifa hili Mh. Gobless Lema. Mungu akulinde na kukubariki Arusha tunatembea kifua mbele kwa kuwa na wewe kama mbunge wetu.