Tuzo za kimataifa zamnyemelea Godbless Lema

Tuzo za kimataifa zamnyemelea Godbless Lema

Watu waliamua kuandamana kwani lema aliwafunga minyoror? Kupigwa kwao risasi ni aibu ya serikali iliyopo madarakani, unamuua mtu alieamua kutembea mwenyewe barabarani? si ujuha huu.
Mbona hukupigwa wewe risasi,walihamasishwa na lema wakateke kituo cha polisi watoe magaidi wenzenu ila nyumbu mkikaririshwa hambadiliki hadi kiama
 
Wakati mwingine tuwe serious hivi Lema ni wa kumpa tuzo sijui lakini labda hizi tuzo zinatoka Unga Limited au Sanya Juu.
 
Tuzo ya Kubenea yeye anapewa lini maana alitoa mchango mkubwa sana bungeni wa mambo ya shanga.
 
Wakati mwingine tuwe serious hivi Lema ni wa kumpa tuzo sijui lakini labda hizi tuzo zinatoka Unga Limited au Sanya Juu.
unga limited kivipi wakati umeambiwa zitatoka nje ya nchi ? acheni dharau jamani mtakuja kuumbuka .
 
Mbona hukupigwa wewe risasi,walihamasishwa na lema wakateke kituo cha polisi watoe magaidi wenzenu ila nyumbu mkikaririshwa hambadiliki hadi kiama
wee jamaa mbona una chuki mbaya sana na mkombozi lema ? umezoea utumwa ?
 
wee jamaa mbona una chuki mbaya sana na mkombozi lema ? umezoea utumwa ?
Kama lema unamwita mkombozi nyerere na wenzie tutawaitaje,usiwe kama lofa na mpumbavu nchi imeshakombolewa,lema ni tapeli tu
 
Mshahara wa dhambi ya dharau ni mauti .
na kwa dhambi hii uliyoifanya wewe ndo utatangulia yaani jumuia za kimataifa zimjadili lemaa?hata wavutanangi wenzake hawajawahi kumpa hata biskut kama zawadi
 
na kwa dhambi hii uliyoifanya wewe ndo utatangulia yaani jumuia za kimataifa zimjadili lemaa?hata wavutanangi wenzake hawajawahi kumpa hata biskut kama zawadi
Haya sasa mwingine huyu , sijui umekurupuka kutoka wapi ?
 
ndo uzuri wa kitu cha arusha ukikitumia vizuri kina tija kwa taifa
 
kua nje ya jf hata masaa mawili unakosa haki nyingi sana za msingi ikiwamo kucheka sana,japo sikuchelewa sana nacheka kidogo teh teh teh teh,dunia hii ni zaid ya furaha yaani lema huyuhuyu anatambulika kimataifa jaman!!
Mimi huwa nakonda nikiwa site hakuna mtandao huwa napamis sana hapa soon patakuwa kijiwen nishapazoea
 
Mbona hukupigwa wewe risasi,walihamasishwa na lema wakateke kituo cha polisi watoe magaidi wenzenu ila nyumbu mkikaririshwa hambadiliki hadi kiama
Kwani uliambiwa waliokuwepo kwenye maandamano wote walipigwa risasi? Hata mie nilikuwepo ila sikuwa mmoja wa marehemu na ninajivunia sana kumchagua kamanda Lema, mlimleta Batilda tukajua hawezi kutuongoza mkampeleka ubalozini mbona nako katupwa tena kama kweli ni mtu sahihi? Huko uliko kikitokea kifo huwa mnakufa wote eeee? Akili za kushikiwa hata tabia za nyumbu huzifahamu ilimradi tu nawe umekariri.
 
Yametimia ! shukrani Mh Lema kwa kuona mbali , wazungu tayari wameyeyuka kama ulivyotabiri , sasa subiri tuzo yako ya amani .
 
Back
Top Bottom