Tuzo ya Mo Ibrahim yakosa tena mshindi

Tuzo ya Mo Ibrahim yakosa tena mshindi

"....Hii tuzo sio sana kuhusu hela,ni kuhusu sifa na haiba ya utawala bora...."

Mogaye
 
Huyu tulie nae hivi sasa atakapomaliza kipindi chake cha uongozi, wala jina lake HALITAINGIZWA KABISA kwenye haya mashindano ya MO Ibrahim Leadership Award.
 
Kwani umeambiwa inagombewa?

Kabla ya kuniuliza Mimi hili swali ningeshauri uanze kwanza kumuuliza Mleta uzi Kichwa chake cha Habari alikuwa anataka kumaanisha nini. Sijakurupuka na najua kwanini nimemjibu hivyo na nasikitika na Wewe pia umeingia katika mkumbo huo huo wa kuwa wa hovyo hovyo.
 
Kabla ya kuniuliza Mimi hili swali ningeshauri uanze kwanza kumuuliza Mleta uzi Kichwa chake cha Habari alikuwa anataka kumaanisha nini. Sijakurupuka na najua kwanini nimemjibu hivyo na nasikitika na Wewe pia umeingia katika mkumbo huo huo wa kuwa wa hovyo hovyo.
Siwezi kubishana na Daud Bashite.
 
Hiyo tuzo inamsubiri Mugabe...
Hii ni ya yule mama wa Liberia,Jembe la Africa,hakika kukiwa na Katiba ya Wananchi,akawepo kiongozi anayeongoza kwa utashi wa Katiba na siye.Yule wa Liberia mwenye Jina zuri,uongozi bora,siasa safi ,bila shaka atakuwa yeye muda ukifika.
 
Nakubaliana 100% na wakfu wa Mo Ibrahim.

Tuzo isiwe zawadi, kama hakuna anayestahili hata kwa miaka kumi, bora iwe hivyo.
 
Nina uhakika JPM atachukua. Mark my words.
Hawaangalii kigezo kimoja tu cha kujenga fly-overs na kununua bombardiers kwa cash money. They have set a very high wide ranging bar. Nina uhakika Dr. Sizonje hawezi hata kufikiriwa kama ataendelea kwa kasi hii hii.
 
Hiyo tuzo haigombewi bali inatolewa kwa kiongozi yeyote aliyestaafu ndani ya miaka mitatu na anayetimiza vigezo. Kikwete angetimiza vigezo angeitwa kuipokea bila kuigombea. Zawadi yenyewe ni $5m tu ambazo sidhani kama ni nyingi za kumfanya mtu kama Kikwete asononeke kutozipata, nadhani la muhimu hapa ni ile heshima inayoendana nazo tu.
Tutache mchezo na pesa, $5m = tu 12B ni pesa kidogo?
 
Sizonje muda wake ukifika hawezi hata kuwa shirtlisted

You will be surprised kuwa kama JPM atasikiliza ushauri na kurekebisha mapungufu kidogo yaliyoonekana katika utawala wake mpaka sasa, he stands a good chance of winning the MO IBRAHIM!!
 
Back
Top Bottom