nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,285
- 3,254
...good..hiki ni kipimo tosha kwa watawala walafi na dhalimu wa Africa....nafurahi sana kuona wanakosa...
..Dr. Salim bado anabaki kuwa mfano bora wa kiongozi makini...ndio maana anatumikia Mo Ibrahim foundation....
...sasa ni wakati wa tz kutafakari upuuzi uliofanywa na ccm 2005 kumwacha Dr.Salim kugombea urais...maana yeye bado anatumika kupima ubora wa watawala wa Africa...tujiulize ilikuwaje mtu huyu hatukufikiri kumtumia kama rais???
...viongozi dhalimu na wenye kufanya nepotism kwenye utawala zao kamwe itakuwa ndoto kupata tuzo hii....na uzao huu wa watawala wa tz hawatapata kamwe tuzo hii.....kwa yale waliyofanya Zanzibar.... Hata JPM inamhusu....