Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Are u siriaz?Hiyo inamsubiri JPM.
Are u siriaz?Hiyo inamsubiri JPM.
hahahhahahahahahahhahaaJecha angekua chairman of committee mshindi angepatikana tu.
Sikubaliani na wewe kwa asilimia 100. Kiongozi mzuri ataonekana tu hata katika mazingira ya umaskini unaoeleza. Ukweli ni kwamba Bara la Afrika lina ukame mkubwa sana wa VIONGOZI. Waliojaa ni WATAWALA.Tulishashauri huko nyuma kuwa hiyo tuzo ifutwe tu kama hakuna anayemit vigezo... Kama tuzo imekosa mshindi kwa miaka kadhaa ina maana hata tuzo yenyewe imeshakosa credibility.
By the way, ni rahisi sana kuongoza nchi iliyoendelea ambayo kila kitu kiko kwenye well defined system kama Ungereza, Marekani, Ujerumani n.k kuliko kuongoza nchi masikini kama Tanzania.
Kuongoza nchi masikini ni kazi kubwa sana kama kuendesha Fiat wakati kuongoza nchi zilizoendelea ni raisi sana kama kuendesha Vitzi mpya iliyotoka kiwandani.
Unaelewa kigezo cha kwanza ni nini? Awe amamaliza muda wake wa urais kwanza na vigezo vingine vifuate. Rudi kwenye uzi usome ndo ucomment.Mugabe
Kesha vurunda na hili la Zanzibar hivyo hana sifa.Hiyo inamsubiri JPM.
Kaka Ukweli ni kwamba hawakidhi vigezo waliostaafu wala usilete habari za kusema kuwa ati nchi zilizoendelea ni rahisi kuongoza. Unategemea viongozi kama kina mu 7, Kagame, au hata hawa wakwetu TZ wakizi vigezo hivyo kwa tunayoyashuhudia? ni dhahiri ni vigumu na ningeshangaa sn kama mfano JK angepewa hiyoTulishashauri huko nyuma kuwa hiyo tuzo ifutwe tu kama hakuna anayemit vigezo... Kama tuzo imekosa mshindi kwa miaka kadhaa ina maana hata tuzo yenyewe imeshakosa credibility.
By the way, ni rahisi sana kuongoza nchi iliyoendelea ambayo kila kitu kiko kwenye well defined system kama Ungereza, Marekani, Ujerumani n.k kuliko kuongoza nchi masikini kama Tanzania.
Kuongoza nchi masikini ni kazi kubwa sana kama kuendesha Fiat wakati kuongoza nchi zilizoendelea ni raisi sana kama kuendesha Vitzi mpya iliyotoka kiwandani.
At least for this comment of yours, for the first time nakuunga mkono.Hii tuzo kuchuliwa na rais kutoka Tanzania ni ngumu sana wanaangushwa na jinsi wanavyoitawala Zanzibar.
Hawana vigezo!Inasikitisha kwa nchi kama tanzania tumekuwa na marais watatu ambao wapo hai na hakuna hata mmoja aliyeshinda.
Mkuu, una maana hata manesi wanao hudumu kule maternity ward hakuna bikira hata 1? Acha utani bwana.Kupata kiongozi bora Africa ni ngumu kama ilivyo vigumu kupata bikra kwenye matenity ward. Itachukua miaka mingi kweli kupata huyo wanaemtafuta. Hata huyu wetu ameshajifelisha kama mtangulizi wake
mhhhhhhhhhhhHawana hela hao Mo Ibrahim ndiyo maana wanajibalaguza.
Tulishashauri huko nyuma kuwa hiyo tuzo ifutwe tu kama hakuna anayemit vigezo... Kama tuzo imekosa mshindi kwa miaka kadhaa ina maana hata tuzo yenyewe imeshakosa credibility.
By the way, ni rahisi sana kuongoza nchi iliyoendelea ambayo kila kitu kiko kwenye well defined system kama Ungereza, Marekani, Ujerumani n.k kuliko kuongoza nchi masikini kama Tanzania.
Kuongoza nchi masikini ni kazi kubwa sana kama kuendesha Fiat wakati kuongoza nchi zilizoendelea ni raisi sana kama kuendesha Vitzi mpya iliyotoka kiwandani.
Nani kasemaMugabe ni Rais mstaafu?