Tuzo ya Mo Ibrahim yakosa mshindi tena

Tuzo ya Mo Ibrahim yakosa mshindi tena

ISINGEKUWA RAHISI KJ KUPATA WAKATI KIKAO KINAONGOZWA NI HASIMU WAKE SALIM AHMED SALIM (KIPIGO CHA 2005 HAKIKUWA KIDOGO) NA NDICHO KILICHOZIMA KABISA NDOTO ZA SALIM KUWA RAISI WA TZ
 
Hivi aliyewahi kupata ni nani zaidi ya hawa
1. The first year’s winner was Joaquim Chissano, the former president of Mozambique,

2.
The following year, in 2008, Botswana’s former president Festus Mogae won the £3.2 million prize.

3. Pedro Pires, the president of Cape Verde

Hakuna zaidi ya hao. Halafu ni kichekesho sana. Hili bara la Africa viongozi ni wabovu kiasi kwamba imeundwa tuzo maalum kuwapa wale ambao kweli wamewatumikia wananchi baada ya kumaliza muda wao. Kazi ya kuwatumikia hao wananchi waliiomba wenyewe lakini wakimaliza kazi hiyo eti wapewe zawadi kama wame perform vizuri lakini wapi bado viongozi hawa hawa qualify kupata hiyo zawadi.

Africa ni bara pekee duniani lenye kutoa zawadi kwa viongozi wake pindi wamalizapo uongozi kwa wale waliofanya vizuri. Lakini pamoja na yote bado Africa hakupatikani viongozi wazuri.
 
Mbona washapatikana kadhaa toka ianze?

Wamepatikana ndiyo...unajua ni wangapi? Unajua hiyo tuzo ina miaka mingapi tangu ianzishwe? Unajua ni miaka mingapi hiyo tuzo imekosa washindi? Hebu fanya hesabu ndogo ya uwiano wa umri wa hiyo zawadi na idadi ya washindi utanielewa nachomaanisha.
 
ClFhXx5WIAAQHkR.jpg

left office in the last three years
 
Hakuna zaidi ya hao. Halafu ni kichekesho sana. Hili bara la Africa viongozi ni wabovu kiasi kwamba imeundwa tuzo maalum kuwapa wale ambao kweli wamewatumikia wananchi baada ya kumaliza muda wao. Kazi ya kuwatumikia hao wananchi waliiomba wenyewe lakini wakimaliza kazi hiyo eti wapewe zawadi kama wame perform vizuri lakini wapi bado viongozi hawa hawa qualify kupata hiyo zawadi.

Africa ni bara pekee duniani lenye kutoa zawadi kwa viongozi wake pindi wamalizapo uongozi kwa wale waliofanya vizuri. Lakini pamoja na yote bado Africa hakupatikani viongozi wazuri.

Naona hii ni aibu Kwa bara la Afrika, kama Tunaweza kushindanisha marais wetu wastaafu na bado tunaibuka na hii sentensi " the foundation said none of the former African heads of State and government met the criteria "
 
Tunakubaliana na wewe hawana hela, haya unazo wewe unampa nani? Mbona watu wenye majina kama yako wanasifikaga kwa busara na akili au umeiba jina!?
Umekutana na watu wangapi wenye majina kama yangu hadi umeconclude kuwa yanahusishwa na busara na akili? Halafu kigezo chako cha busara na akili ni nini?
 
Wamepatikana ndiyo...unajua ni wangapi? Unajua hiyo tuzo ina miaka mingapi tangu ianzishwe? Unajua ni miaka mingapi hiyo tuzo imekosa washindi? Hebu fanya hesabu ndogo ya uwiano wa umri wa hiyo zawadi na idadi ya washindi utanielewa nachomaanisha.

Hiyo haitolewi kwa hesabu ya miaka bali kwa kukidhi vigezo

Kwa hizi figisu za viongozi wa kiafrika ni ngumu sana kukidhi vigezo
 
Wangebadilisha iwe kwa viongozi madikteta nadhani hapo tutapata wengi mno
 
Si Kikwete, Jonathan Goodluck au Guebuza aliyefikiriwa.
Imekuwa tuzo ya heshima kweli kweli. Hawabahatishi hata kidogo. Kama hakuna mtu wakae hata miaka kumi.

=======
No winner for Mo Ibrahim Sh500m prize for African leadership
MoIbrahimIndex.jpg

Mo Ibrahim, the chairman of the Mo Ibrahim Foundation, which says there is no suitable winner, again, for its Africa annual leadership excellence prize. AFP PHOTO | CARL COURT

The Mo Ibrahim Foundation says there is no suitable winner, again, for its Africa annual leadership excellence awards.

On Thursday, the foundation said none of the former African heads of State and government met the criteria for the 2015 Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership.

It means that recently retired presidents like Jakaya Kikwete of Tanzania, Armando Guebuza of Mozambique and Goodluck Jonathan of Nigeria, failed to prove they had left a legacy worth rewarding.

Set up by Sudanese-British tycoon Mo Ibrahim in 2006, the Ibrahim Prize is given based on the review of a special committee that includes former diplomats, Nobel laureates, business leaders and democracy activists.

This year’s prize committee was chaired by former Tanzania prime minister Salim Ahmed Salim.

The criteria used by the committee to select a winner include the requirement that all eligible contenders be former heads of State or government who left office in the previous three years.

The leaders should have been democratically elected, served their constitutionally allowed terms and demonstrated exceptional leadership.

In a statement Thursday, Mr Ibrahim, the chairman of the foundation, said he agrees with the verdict of the committee.

“The Board respects the decision of the independent prize committee. When we launched the prize ten years ago, we deliberately set a very high bar.

“We want the prize to shine a spotlight on outstanding leadership to provide role models right across society, as well as supporting Laureates to continue to serve the continent by sharing their wisdom and experience,” he said.

Since 2006, the Ibrahim Prize has been awarded four times.

HUMILITY

The last winner, for the 2014 edition, was former Namibia President Hifikepunye Pohamba, whom Dr Salim described then as having “demonstrated sound and wise leadership" while maintaining "his humility throughout his Presidency.”

Other winners include former Cape Verde President Pedro Pires (2011), President Festus Mogae of Botswana (2008) and President Joaquim Chissano of Mozambique (2007). Nelson Mandela was the inaugural Honorary Laureate in 2007.

There were no winners in 2009, 2010, 2012 and 2013.

But the foundation said on Thursday that the lack of winners last year is more indicative of the tough eligibility conditions rather than a sign of poor leadership on the continent.

“The decision by the prize committee is a reflection of the exceptionally high bar set for potential winners rather than any disappointment with the overall quality of leadership on our continent.

“The tough criteria were deliberately set to ensure only the most outstanding would be considered,” said Sophie Masipa, head of communication at the foundation.

Winners of the award receive about $5 million (Sh500 million) spread over a decade and a further $200,000 annually for the rest of their lives.

Chanzo: No winner for Mo Ibrahim Sh500m prize for African leadership
Inamngojea muhusika JPJM!
 
So kuna watu walidhani kuwa rais wetu mstaafu angeichukua hii tuzo?na je wadau mnaoilaumu hii tuzo je mmesoma vigezo vyake?tangu shemej akiwa madarakani ilijulikana hatachukua hii tuzo.Nadhan Mo Ibrahim wameweka hii tuzo kuwamotivate hawa wazee wa kiafrika kupractice demokrasia ila wameshindwa.

Mkumbuke kuwa hii tuzo inatolewa kwa kuassess uongozi wa mtu kwa miaka yote ya utawala wake na si kwa tukio moja zuri.Wala haikuhitaji PhD kujua kuwa angepata au lah.Na wanaoponda nadhan ni ile kauli SIZITAKI MBICHI HIZI
 
Hiyo haitolewi kwa hesabu ya miaka bali kwa kukidhi vigezo

Kwa hizi figisu za viongozi wa kiafrika ni ngumu sana kukidhi vigezo
Ni kweli ngumu kupata,Mo Ibrahim inasisitiza utawala bora watawala wa kiafrika wanapaswa kupraktisi utawala bora mbona wenzao walipata?so tuzo si kwamba haijawah kukosa mshindi,ishapata washindi kadhaa.
Hawa waliopo madarakan now wanapaswa kutawala kwa mujibu wa sheria watashinda tu
 
Lowassa angekuwa Rais wa Tz Angepata kila mwaka. Tz tutakuja kupata kiongoz bora baada ya kizaz cha kina lema,zitto,mwigulu,j makamba, kutoweka! Maana wote ni wapigaji.
 
Back
Top Bottom