Tuzo ya Mo Ibrahim yakosa mshindi tena

Tuzo ya Mo Ibrahim yakosa mshindi tena

Jecha angekua chairman of committee mshindi angepatikana tu.

Mkuu umenichekesha; kweli kwa Jecha lazima mshindi angepatikana, vinginevyo angefuta hiyo kamati na kuitisha kura huru ambapo yeye
ndo mwamzi pekeee hakuna kuhoji! na ushindi angepewa Laurent Baghbo wa Ivory Cost au familia ya Gadaffi.
 
110307_r20555_g2048-1200-798-25135801.jpg

Inajulikana kama Ibrahimu prize, ni zawadi ya fedha taslimu ambazo hupewa Kiongozi wa mweusi wa Kiafrika atakayeshinda kulingana na vigezo vilivyowekwa (na huyo Mwarabu na Wazungu kama Bill Clinton), inanikumbusha mchezo wa masumbwi promota na kocha Mzungu ila wanaochapana uwanjani na kuumizana ni sisi Niga!

Ikumbukwe kwamba ukimuuliza mtu wa Algeria au Tunisia kuhusu Mo Ibrahimu atakwambia ndiyo mdudu gani , lkn hapa kwetu kwa Waafrika weusi ndiyo tumegeuza kuwa kigezo cha maisha yetu na kwamba huyo Mwarabu ndiyo anaamua ni yupi kiongozi bora wa Bara giza na yupi siyo, na sisi tunachekelea, ni kama vile mtoto mdogo (sisi Waafrika Dunia inachukulia kama watoto wadogo) unaambiwa ukirudi Shule fanya mazoezi aliyokupa Mwalimu usome, ukimaliza jioni uoge, ule halafu ulale usisahau kutayarisha sare zako za kesho asubuhi nikija jioni nikikuta umefanya vizuri nitakununulia zawadi ya nguo na viatu vizuri wkt wa Idi au Krismas usipofanya hivyo hakuna zawadi krismasi au Idi umesikia mwanangu? Sisi tuna jibu sawa baba!

,,The Mo Ibrahim Foundation gives multimillion-dollar awards to African leaders who stay honest, promote democracy—and relinquish power".
 
Nashauri tusiangalie "nani" anashindanisha....cha muhimu ni kuangalia "nini" kinashindanishwa, iwapo underlying concept inaleta maana au haileti maana.
 
Kwa Tz. ya sasa hakuna mwenye sifa hata chembe! kwanza angepewa yoyote tu nchini TUNGEANDAMANA kupinga!
 
Hakuna anayestahili katika wastaafu hao. Huo Ndiyo ukweli.

Kama kigezo ni miaka mitatu hao ndio kwanza wamehitimu mwaka jana wanapataje sifa sasa, inatakiwa waache legacy sasa muda bado kwao ndio wanaingia katika chekeche sasa.
 
110307_r20555_g2048-1200-798-25135801.jpg

Inajulikana kama Ibrahimu prize, ni zawadi ya fedha taslimu ambazo hupewa Kiongozi wa mweusi wa Kiafrika atakayeshinda kulingana na vigezo vilivyowekwa (na huyo Mwarabu na Wazungu kama Bill Clinton), inanikumbusha mchezo wa masumbwi promota na kocha Mzungu ila wanaochapana uwanjani na kuumizana ni sisi Niga!

Ikumbukwe kwamba ukimuuliza mtu wa Algeria au Tunisia kuhusu Mo Ibrahimu atakwambia ndiyo mdudu gani , lkn hapa kwetu kwa Waafrika weusi ndiyo tumegeuza kuwa kigezo cha maisha yetu na kwamba huyo Mwarabu ndiyo anaamua ni yupi kiongozi bora wa Bara giza na yupi siyo, na sisi tunachekelea, ni kama vile mtoto mdogo (sisi Waafrika Dunia inachukulia kama watoto wadogo) unaambiwa ukirudi Shule fanya mazoezi aliyokupa Mwalimu usome, ukimaliza jioni uoge, ule halafu ulale usisahau kutayarisha sare zako za kesho asubuhi nikija jioni nikikuta umefanya vizuri nitakununulia zawadi ya nguo na viatu vizuri wkt wa Idi au Krismas usipofanya hivyo hakuna zawadi krismasi au Idi umesikia mwanangu? Sisi tuna jibu sawa baba!

,,The Mo Ibrahim Foundation gives multimillion-dollar awards to African leaders who stay honest, promote democracy—and relinquish power".

It seems you're suffering from VERBAL DIARRHEA. It is a serious disease which, once it has control of a person, causes them to spew forth incoherent babble non-stop. Often extremely frustrating for the victim and extremely hilarious for the observer.
 
Nani kasema
Kuna mtu kasema Mugabe alistahili tuzo hiyo ndiyo nikauliza ni Rais mstaafu? Tuzo inakwenda kwa wastaafu sio wale ambao bado wapo madarakani.
 
Kikwete alistahili sema hawana hela tu bac
 
Kabisa hakuna anayestaili kweli bora wakae nayo Africa kuna machifu sio marahisi
 
Back
Top Bottom