TUZO ya JF

jamani mkianza kupendekeza majina msinisahau.tatizo la jf utakuta amshindi wa kwanza hadi wa tatu ni mtu mmoja kwa id tofauti.halafu ukiniwaza kutaja jina langu usisahau kumpendekeza hata binti malingo mwenye point za kipekee fais buku.mia
 
iyo tuzo itatolewa xmas? Nataka mshindi nimletee mkungu wa ndizi mshare kama zawadi toka mlimani moshi.
 
jamani mkianza kupendekeza majina msinisahau.tatizo la jf utakuta amshindi wa kwanza hadi wa tatu ni mtu mmoja kwa id tofauti.halafu ukiniwaza kutaja jina langu usisahau kumpendekeza hata binti malingo mwenye point za kipekee fais buku.mia

Nimecheka mpaka kufurahi.....lo... Dah! mia

@Inkoskaz... wazo zuri mie nimelipenda....
 
Hii tuzo najua mtapeana mamoderators.
 
huku niliko ni msimu wa maembe,mshindi nitampa zawadi ya maembe. Nalog off
 
Mkishampata huyo mje kwenye tuzo nyingine:

Mchakachuaji wa Mwaka
Mla BAN maarufu wa mwaka
Mtumiwa PM maarufu wa Mwaka
Mtongozaji maarufu wa Mwaka
Mtoa dozi ya vidonge maalum wa mwaka (Hapa tuko wawili tu na mai felo tableti wangu)
Mtumiaji mzuri wa kiinglish wa mwaka
Mtoa sredi nyingi zaidi wa mwaka
Mchangiaji maarufu wa mwaka (hata kama anapost "Nimepita tu" nyiiiiiingi)

>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
 
Babuu...hao wowe watapata nafasi ya kula dinner na mshindi pale Double Tree na walezi kama wewe
 
asanteni wandugu mshindi amepatikana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…