Tuzo ! Tuzo ! Miaka 10 ya JF

Tuzo ! Tuzo ! Miaka 10 ya JF

Muelimishaji kwenye ishu za tech chief mkwawa ila kwenye umbea kwa sasa kuna MTU anaitwa niffah anamkimbiza kwa karibu kabisa warumi.
 
Muelimishaji kwenye ishu za tech chief mkwawa ila kwenye umbea kwa sasa kuna MTU anaitwa niffah anamkimbiza kwa karibu kabisa warumi.
Very clear
 
ile ya mambumbumbu mpeni kabanga.eti coment zake ni:aisee,sawa,inashangaza.nk..matango pori gentamycine akiikosa aandamane,mshana kwa mambo yale naona keshabeba b4 ya wazo kuletwa.avatar kiboko apewe rubii manake ukiiona tu linadinda hata kama haupo kwenye mode
Aiseee....!!
 
Back
Top Bottom