Namkunda OG
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 827
- 1,048
Mbona me hamnitaji
ahaaa!haya mambo sipendi.tuzo yangu nataka.pia nijue kabisaaa mshindi anachukua sh ngapi?nisijekuwa nanufaisha kina mshana tu!

No 6Weka unapoona nastahili coz kila MTU anavuna alichopata
#Tuwe fair
Binafsi naahidi kuchangia zawadiIts good...lkn anayetajwa Mara nyingi NDIO MSHINDI
***14.mshanajr hana mpinzani...akiikosa kuna mkono wa mtu
***Sema ana sifa zipi..ili niongeze list
Bado category zinaongezeka