Yule aliyeokolewa China na baba mzazi usiku kwa usiku
Hakuna ishu simple kushughulikia kama ishu ya dawa za kulevya. Unakusanya mateja wote then unawauliza wananunua wapi. Wakikataa unawasubiri wakiwa low then wanakuelekeza wenyewe
Ukiacha ufisadi, naomba mwenye info za wahuni wa madawa ya kulevya wawekwe wazi hapa tafadhali.. Serikali inapata info kutoka kwenu na ndio maana baadhi ya mambo yanafanyika kwa ufasaha.