Tuzianike taarifa kuhusu biashara ya madawa ya kulevya hapa serikali ifanyie kazi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Ukiacha ufisadi, naomba mwenye info za wahuni wa madawa ya kulevya wawekwe wazi hapa tafadhali.. Serikali inapata info kutoka kwenu na ndio maana baadhi ya mambo yanafanyika kwa ufasaha.
 
Kuna Jamaa anaitwa MFUNGENI,, YUPO KUNDUCHI BEACH,, HUYU NI DRUG DEALER MKUBWA NA ANAHARIBU VIJANA,, INASIKITISHA KWAKWELI,, KWA MUDA NILIOKUWA NA KAA KULE NIMESHUHUDIA VIJANA WENGI WAMEHARIBIKA KWA UNGA KWAJILI YAKE.....ANA MAJUMBA KILA KONA YA UNUNIO NA AREA ZINGINE
 
Mna Uhakika hawapo humu? Reaction yao ni ipi hapa?,Anyway kama wapo wasitusumbue wajitaje bhana.
 
Arusha nako wamemAlizA vijana........police they are part of the deal 10% wanapewa
 
Huyu jamaa wa Ununio anafahamika hata kwa watoto wachanga kuwa ni drug dealer, swali ni je? Inamaana hawa jamaa wa Kawe na Wazo hawana taarifa naye au ndo mambo ya %
 
Hii vita ni ngumu,lakini inawezekana tukashinda endapo tutaweka maslahi ya taifa mbele kuliko kuendekeza maslahi pekee.
 
Maeneo ya Temeke,Tandika,Yombo na Mbagala vijana wameharibikiwa sana.Mwenye kuwajua waingizaji na wauzaji ni vyema akawataja kwa kweli.
 
mi kuna mmoja namjua wa mbagala lakini humu sidhani kama kuna usalama mana wao wenyewe wana mtandao mkubwa tusije tukapotea bure
 
Makonde mbezi beach, karibu na kunotze bar polisi wanapajua vizuri maana kila mara wanaizunguka nyumba na ma smg yao hawafanyi lolote kwa miaka zaidi ya kumi
 
Sioni kiyufe cha "LIKE" siku hizi. Ila unamawazo ninayoyafikiria kila siku. Kwanini wasizolewe mateja wakawekwa sehemu mmoja na pale watakapoomba msaada wa ile kitu ndio utakapowauliza inapopatikana. Wataisha wote.

Hakuna ishu simple kushughulikia kama ishu ya dawa za kulevya. Unakusanya mateja wote then unawauliza wananunua wapi. Wakikataa unawasubiri wakiwa low then wanakuelekeza wenyewe
 
Ukiacha ufisadi, naomba mwenye info za wahuni wa madawa ya kulevya wawekwe wazi hapa tafadhali.. Serikali inapata info kutoka kwenu na ndio maana baadhi ya mambo yanafanyika kwa ufasaha.

ipo ngoma moja hapa jirani ina macheni shingo nzima,hereni masikio yote na mapete kila kidole,inajiita ZUNGU!inadai imekaa na inaendaga marekani,mexco na chile sanaa tu,bado naipeleleza maana isijekuwa ni shoga tu,inadai mishe zake ndo hizo,lakini kwanini ijisifu hadharani?
 
Back
Top Bottom