mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 16,106
- 36,085
Najua kuna watu watanipinga ila huu ndio ukweli. Muonekano wa mtu unaweza kumsaidoa kupata fursa au kukosa fursa fulani.
Kuna watu wengi nawajua wapo kwenye vitengo nyeti si kwa sababu wana uwezo kichwani bali muonekano wao umewabeba.
Wewe unayelilia ajira kabla ya kumlaumu Mungu hebu jiangalie kwenye kioo unamvuto? Unaombaje kazi inayokutaka udeal na watu huku ukiwa na sura au muonekano usiovutia?si ukasomee ufundi mchundo kama mimi.Dk Remmy hakuwa mjinga kuzaa na mzungu
Hitimisho, unataka wanao wasikose ajira?zaa na pisi kali uwasaidie watoto wako wasihangaike kutoswa kwenye interview.
Nimeongelea kuzaa sio kuoa,tusioe jamani.