Hatuwezi kupiga hatua kama nchi bila kuainisha mabaya ya Magufuli na Nyerere. Style ya kuendesha nchi ya Magu na Samia ni ileile tofauti ni malengo na Maono. Bado watu wanatekwa, uchaguzi wanashinda asilimia 90, serikali imejaa watu wanaotoka alikotoka rais, maendeleo yanaelekezwa alikotokea rais n.k .Weka kumbukumbu nzuri isiyo ya uonevu. Kipindi hiki toka Jiwe mpaka hapooooooo, weka kimbukumbu. Hata vizazi vyao walioshiriki kikamilifu kuiuza Tanganyika na wanufaika, will pay the price!
Fact tupuHatuwezi kupiga hatua kama nchi bila kuainisha mabaya ya Magufuli bna Nyerere. Style ya kuendesha nchi ya Magu na Samia ni ileile tofauti ni malengo na Maono. Bado watu wanatekwa, uchaguzi wnashinda asilimia 90, serikali imejaa watu wanaotoka alikotoka rais, maendeleo yanaelekezwa alikotokea raid n.k .
Halafu cdf, igp wanabariki uhuni huu kwa bile wana.mgao wao! Tuweke kumbukumbu sahihiHatuwezi kupiga hatua kama nchi bila kuainisha mabaya ya Magufuli bna Nyerere. Style ya kuendesha nchi ya Magu na Samia ni ileile tofauti ni malengo na Maono. Bado watu wanatekwa, uchaguzi wnashinda asilimia 90, serikali imejaa watu wanaotoka alikotoka rais, maendeleo yanaelekezwa alikotokea raid n.k .
Hiyo kumbukumbu na price vipi mkuu ???Weka kumbukumbu nzuri isiyo ya uonevu. Kipindi hiki toka Jiwe mpaka hapooooooo, weka kimbukumbu. Hata vizazi vyao walioshiriki kikamilifu kuiuza Tanganyika na wanufaika, will pay the price!
Huo Utanganyika siku ukija kuwa huru hao Watanganyika watatafuta tatizo jingine ambalo litakwenda kuivunjavunja hiyo Tanganyika.Weka kumbukumbu nzuri isiyo ya uonevu. Kipindi hiki toka Jiwe mpaka hapooooooo, weka kimbukumbu. Hata vizazi vyao walioshiriki kikamilifu kuiuza Tanganyika na wanufaika, will pay the price!
Jiendelezeni kielimu pelekeni watoto wenu shule kadri inavyowezekana vinginevyo tutaimba hizi nyimbo za malalamiko mpaka siku za kwenda makaburini.JPM alitaka kurudisha uchumi mikononi mwa Watanganyika pamoja na Rasilimali zake
Baada ya hapo, tumejionea na tunaendelea kujionea wenyewe, uchumi wetu unapewa wageni na rasilimali zetu kupewa wageni kisa ni wajomba wa mhusika
Huu ni uongo na chuki binafsi. Weka ushahidi tujadili.maendeleo yanaelekezwa alikotokea rais n.k .
Have you gone to Zanzibar recently ?Huu ni uongo na chuki binafsi. Weka ushahidi tujadili.
Umekwenda katavi siku za karibuni ukaiona bandari ya Kalemi?. Kuna meli nne zinakwenda kubeba abiria kwenye Ziwa lile.Have you gone to Zanzibar recently ?
Have you gone to Zanzibar recently ?
What if I have gone there? In fact I am there contemplating your false accusation.Have you gone to Zanzibar recently ?
Ulitaka kusema nini chiefJiendelezeni kielimu pelekeni watoto wenu shule kadri inavyowezekana vinginevyo tutaimba hizi nyimbo za malalamiko mpaka siku za kwenda makaburini.
Dunia ya sasa katili sana haina msalie mtume, ubepari umesambaa kila kona mwenye kuitafuta riziki kwa nguvu akiongozwa na ubunifu atapata mafanikio.Ulitaka kusema nini chief
Sijakuelewa, toa ufafanuzi mzuri nielewe
Chief, unakuwa mwanaume dhaifu na muoga muoga tena kuhusu hatima yako?Dunia ya sasa katili sana haina msalie mtume, ubepari umesambaa kila kona mwenye kuitafuta riziki kwa nguvu akiongozwa na ubunifu atapata mafanikio.
Tumbo tupu huleta kila aina ya majanga maishani, mwenye pato la uhakika huwezi kumshawishi aingie barabarani akutane na hatari ya kupigwa risasi na kupoteza maisha.
Usipokuwa na elimu ya kutosha ni rahisi kuwa mtaji wa wenye nguvu walio na malengo makubwa.
Kifo hakina dhaifu au jasiri ukiondoka biashara yako inafikia tamati.Chief, unakuwa mwanaume dhaifu na muoga muoga tena kuhusu hatima yako?
Sio siku nyingi wanaume kamili watakutafuta
sehem zote ulizotaja alianzisha jiwe.Umekwenda katavi siku za karibuni ukaiona bandari ya Kalemi?. Kuna meli nne zinakwenda kubeba abiria kwenye Ziwa lile.
Umekwenda Busisi ukaliona daraja lililomaliziwa namna linavyokuza uchumi wa east africa?.
Umekwenda Pangani ukaliona daraja linalomaliziwa muda huu?, jiulize namna linavyokwenda kuufungua ukanda mzima wa Pwani ya Tanzania.
Hizi roho za kibaguzi na chuki mnazosambaza siku zinapowarudi na kuleta madhara msiende kulalamika huko ICC.
Mtakuwa mnalipia mshahara halisi wa dhambi ambao ni mauti.
Zile barabara zote zilizompa sifa hayati JPM alizijenga akiwa waziri wa serikali ya awamu ya nne ya JK.sehem zote ulizotaja alianzisha jiwe.