KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,748
- 86,382
Ukiona bado unapambana na tabia zako kwa kutegemea kitu fulani kikusaidie katika kuziweka sawa hizo tabia usizozipenda basi jua bado haujakuwa kikamilifu!.
Kukua ni pamoja na kuweza kupambana na tabia zako bila kumtegemea mganga ama yesu au mtume aje akurekebishe!.
Tabia zina mtindo wakuunda mafanikio hasi ama chanya so uamuzi ni wakwako, kuna vitu kuvipata hautavipata kama hautaweza kuachana na tabia fulani fulani, na sio tu kuacha kuna tabia unatakiwa uzivae pia!.
Ondoka kwenye uvivu wakukemea tabia kwa imani ati ziondoke!, my friend utagalagala mno!. tabia zinaanza kukataliwa kichwani mwako na kufanya maamuzi sahihi nakujisimamia.
Mwisho hakikisha unaimarisha uwezo wa ubongo wako, hiyo ni kama nyenzo yakuangalia vitu ktk umbali tofauti tofauti nje na hapo utabakia kwenye wigo wa kila siku!.
Niwatakie siku njema watu wangu wa nguvu.