Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,022
- 144,379
Kila taarifa ya CAG na ile ya kamati za bunge kuhusu mahesabu ya serikali zinapowasilishwa bungeni ndio mwanzo wa kusema nchii mawaziri akiwemo waziri mkuu ni mizigo na wanapaswa kufukuzwa.
Hata hivyo,mabadiliko yoyote ya serikali hii ya awamu ya nne ni mpaka bunge lishinikize licha ya uozo na uzembe wa watendaji hawa ukiwa ni jambo la wazi kabisa.
Sasa watanzania wenzangu,tukiwa wakweli na tusiwe na hata chembe ya unafiki,hapa tatizo ni mawaziri au Raisi anaewateua?
Labda swalil la msingi ni kuwa ikiwa anaewateua atakuwa muwajibikaji itawezekana mawaziri wawe wazembe?
Naomba maoni yako.
Rais ni mbovu na hivyo siku zote kuchagua mawaziri wabovu,,,kwa ujumla wote ni wabovu.Unless unataka tatufa cause..then Rais atabaki kuwa Mbovu wa kwanza anayezaa wabovu wengine.
Nadhani si Rais wala Mawaziri wenye matatizo, nadhani system nzima ndiyo yenye matatizo, yaani system yenyewe ndiyo ipo hivyo. Tunachohitaji ni vyama 2 au 3 tu vya siasa.

Umezungumza jamo la msingi sana
Hiyo idadi itafikiwa mara vyama vya siasa vitakavyokuwa vigumu kuvianzisha na kuviendesha ..haswa ianpokuwa ngumu kupata wanachama na kuja na kitu kipya cha kuwavutia...Nadhani si Rais wala Mawaziri wenye matatizo, nadhani system nzima ndiyo yenye matatizo, yaani system yenyewe ndiyo ipo hivyo. Tunachohitaji ni vyama 2 au 3 tu vya siasa.
Nadhani si Rais wala Mawaziri wenye matatizo, nadhani system nzima ndiyo yenye matatizo, yaani system yenyewe ndiyo ipo hivyo. Tunachohitaji ni vyama 2 au 3 tu vya siasa.
Kila taarifa ya CAG na ile ya kamati za bunge kuhusu mahesabu ya serikali zinapowasilishwa bungeni ndio mwanzo wa kusema nchii mawaziri akiwemo waziri mkuu ni mizigo na wanapaswa kufukuzwa.
Hata hivyo,mabadiliko yoyote ya serikali hii ya awamu ya nne ni mpaka bunge lishinikize licha ya uozo na uzembe wa watendaji hawa ukiwa ni jambo la wazi kabisa.
Sasa watanzania wenzangu,tukiwa wakweli na tusiwe na hata chembe ya unafiki,hapa tatizo ni mawaziri au Raisi anaewateua?
Labda swalil la msingi ni kuwa ikiwa anaewateua atakuwa muwajibikaji itawezekana mawaziri wawe wazembe?
Naomba maoni yako.
Tatizo ni kizazi kilichopo cha watawala na watawaliwa
Nadhani si Rais wala Mawaziri wenye matatizo, nadhani system nzima ndiyo yenye matatizo, yaani system yenyewe ndiyo ipo hivyo. Tunachohitaji ni vyama 2 au 3 tu vya siasa.
Nakubaliana na wewe kwa hoja kwamba sisi wenyewe ndio tunachagua viongozi wabovu.
Rais hana tatizo. Hao wanaosema kama huwezi kulipia umeme tumia kibatari ndio wanaomwangushag
Tatizo ni sisi wananchi!!!!