Tuwe wakweli, mwanaume ni mwanaume tu

Chakorii naomba nikuulize kitu!?
 
QQUOTE="sajo, post: 44770414, member: 31094"]
Wanainjoi sana aisee, inawasaidia pia kujua mambo mapema, vitu kama hesabu na uongeaji
[/QUOTE]
Kupitia kuimba huko?
 
Huu msimu wa sikukuu nasikia na kuona mengi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Mbona haya mambo sikuyasoma mwezi wa sita huko.
Wewe subiria mwezi wa kwanza tarehe za mbele mbele huko utakutana na makasiriko kwenye miandiko sio ya nchi hii๐Ÿ˜†
 
Ukilingundua hili mapema utakula mema ya nchi ila ukijakuligundua ukiwa umechelewa aisee moto wa jehanam utakuanzia duniani
 
Ameeeennn.. Abarikiwe na azidi kukupa furaha dear kuna mtu ukiwa nae unaona kabisaaaa I'm in a safe place na you feel proud kuwa nae kwa si kwa maneno yake tu na matendo pia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ