mimi binafsi nawakubali diploma kwa maadili wako juu kuliko degree, pia wako chini ya grade A, lakini kwa competence kuvunja madude degree wako juu, pia wakati mwingine inategemea na aina ya chuo ambacho yule mtu alisoma, pamoja na juhudi binafsi. Unaweza ukawa na degree ukazidiwa content na diploma holder.Upi? u degree au udiploma au huu uzi? mkuu mbona una hasira?
wa diploma ni mzuri zaidi kuliko wa degree hilo nina ushahidi nalo mwaka jana walikuja walimu wa btp kutoka sekomu walikuwa mwaka wa 3, MUNGU wangu kuandaa hawajui kabsa walipokuja wakaguz wao ilibid tuwasaidie kuandaa vipindi na kuwaelekeza jinsi ya kutumia zana, walipokaguliwa walipewa big up.
anaJF ni mwalimu yupi anaandaliwa vizuri kiuwezo na kimaadili pamoja na mbinu za kufundisha kati ya diploma na degree?
kuelekea ajira mpya
za walimu hebu tuwe wakweli wanaJF ni mwalimu yupi anaandaliwa vizuri
kiuwezo na kimaadili pamoja na mbinu za kufundisha kati ya diploma na
degree? ikumbukwe kuwa mwalimu wa diploma hufanya mtihani wa mwisho
chini ya necta na akifeli somo moja (SUP) Haajiriwi wakati yule wa chuo
kikuu husoma kwa semister..nina mifano ya watu kadhaa ambao walifeli
diploma wakaamua kwenda chuo kikuu leo hii wana degree! pia hata shule
nyingi za binafsi hawapendi wenye degree unless huyo mtu kapitia diploma
kwanza! sitasema mengi najua kuna watu watanielewa tofauti....hata
hivyo sina nia mbaya karibuni tujadili
Diploma anasomea 'Ualimu'
Degree anasomea "Elimu"
kuna tofauti kati ya kusomea ualimu na kusomea Elimu! Sio wote wAnaosomea Elimu ni walimu! ndo maana vile vya diploma na certificate vinaitwa TTC-Teachers' Training Colleges!! Na hao wa diploma wanafundishwa na wenye degree, ila mleta mada uko biased na huenda pengine una diploma na umekosa qualifications za kusoma hyo degree! #nenda kasome acha kulalama hapa!
Diploma anasomea 'Ualimu'
Degree anasomea "Elimu"
kuna tofauti kati ya kusomea ualimu na kusomea Elimu! Sio wote wAnaosomea Elimu ni walimu! ndo maana vile vya diploma na certificate vinaitwa TTC-Teachers' Training Colleges!! Na hao wa diploma wanafundishwa na wenye degree, ila mleta mada uko biased na huenda pengine una diploma na umekosa qualifications za kusoma hyo degree! #nenda kasome acha kulalama hapa!
Mkuu kweli nina diploma na kutokana na nilivyoona uwezo wa wale degree holder nimeona sina haja ya kuchukua degree maana hakuna walichonizidi ! pia kuhusu sifa kuanzia za form 6 hadi matokeo yangu ya dip yananiruhusu kuchukua degree...sasa nifuate nini huko? kuongeza mshahara au? maana maujuzi...hahaha!
diploma anasomea 'ualimu'
degree anasomea "elimu"
kuna tofauti kati ya kusomea ualimu na kusomea elimu! Sio wote wanaosomea elimu ni walimu! Ndo maana vile vya diploma na certificate vinaitwa ttc-teachers' training colleges!! Na hao wa diploma wanafundishwa na wenye degree, ila mleta mada uko biased na huenda pengine una diploma na umekosa qualifications za kusoma hyo degree! #nenda kasome acha kulalama hapa!