Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,715
Umekaa unasikia nyoka kakugonga kwenye mpododoMm HV vyoo situmiag
Gud qn indeedYaani niseme huyo nyoka ama chatu walingia kupitia sehemu gani ya block.
Na hapa naona nukta tuDuh. ..nimekosa cha kuandika
Hizo drainage system zipoje kwani hadi ziruhusu waingieHawa ni nyoka wa kufugwa ambao wanafuata drainage system mpaka nyumba nyingine
Lakini kwetu sidhani kama kuna system hii ambapo atashindwa kukwama mahali kwa pipe zetu za size tofauti
Kwa kweli watu walivyowaoga wa chatu amfuge nyumbani ampe mbuzi kwa mwezi duu sidhani
Ni nyumba hadi nyumbaHizo drainage system zipoje kwani hadi ziruhusu waingie