Tuwe Serious Kidogo...

Tuwe Serious Kidogo...

Hilo Gari Sio Lako Umevizia Boss Kashuka Ukapiga Picha Kutambia Humu Ili Wadada Waje PM. Hilo Ndo Lengo La Uzi Wako. Samahani MKuu .
Wee umeonyesha jinsi gani ulivyo, kuwa na gari mjini ni big deal sana nn.......
 
We jamaa unazingua hicho kibao ni kwa ajili ya hedikoputa na bombedia, nyie wenye magari hakiwahusu, ukiwa angani kinasomeka kwa usahihi zaidi
 
Jiji linaongozwa na bashite, division zero! Unategemea nini...
Hiyo sasa tunamuonea...kwani yeye ndio anaviweka? Hata kuvikagua sio lazima yeye. Sema kwa taarifa hii subiri mtiti wake. Mkandarasi lazima achutame na anaweza kosa malipo yote yaliyobaki. Cheza na bashite wewe....sometimes yuko vizuri kwy kuwabana makandarasi rongorongo sema huwa hachagui maneno ukiingia kwy 18 zake. Utajuta kuzaliwa Tanzania.
 

Attachments

  • IMG_20171209_212542_268.JPG
    IMG_20171209_212542_268.JPG
    63.7 KB · Views: 30
kuna kitu hujaelewa..hiko kibao kilishikiliwa na misumari miwili
wa juu na wa chini
sasa wa juu ukaachia...ndo kikateremka kimebaki kushikiliwa na msumari wa chini
Safi sana, you went a little bit further
 
Back
Top Bottom