Tuwe Serious Kidogo...

Tuwe Serious Kidogo...

Airfresh inanukia vizuri........

Just like strawberries za dadiiiiii
 
Kibao hakina tatizo lolote lile hiyo ni kawaida inaitwa expansion nail
 
Uchwara atakwambia muigeni Mkuu wa mkoa wa Dar ni mchapa kazi sana. Sijui tangu lini uchwara akajua kipimo cha ufanyaji kazi!! Vinginevyo asingekubali kusukumiziwa Ikulu.

Jiji linaongozwa na bashite, division zero! Unategemea nini...
 
kuna kitu hujaelewa..hiko kibao kilishikiliwa na misumari miwili
wa juu na wa chini
sasa wa juu ukaachia...ndo kikateremka kimebaki kushikiliwa na msumari wa chini
Ni kweli. Lakini je wahusika hawajaliona hlo.? na vipo vingi tu vimeanguka. Lakini wahusika wanapuuzia.
 
Basi wamekusudia
labda lengo kisitumike hapo but kisipotee
njia ya kukihifadhi kwa matumizi sehemu ingine baadae
Nimepita tena leo nikasimama hapo. NI KWELI KUNA BOLT MOJA YA JUU IMECHOMOKA. Lakini bado hatuko serious maanake kimekaa muda mrefu sana.
 
kuna kitu hujaelewa..hiko kibao kilishikiliwa na misumari miwili
wa juu na wa chini
sasa wa juu ukaachia...ndo kikateremka kimebaki kushikiliwa na msumari wa chini
You were 120% right. Ila bado inabidi tuwe serious kiko hivyo muda mrefu sana.
 
Tenda wanachukua wasomi na kujikalia zao maofisini...

Ila vibarua wa kuyaweka hayo ni wale waokota vyuma chakavau...

Ili mradi bango limeingia, anajikazia bolt zake mambo yameisha, mengine mtajijua wenyewe, muda wa kusoma hana...

cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom