Tuwe makini na vioo

Mmmmm watu waongo utawajua tu kwa uwezo wao wa kudanganya!
 
Dah kweli Mwenyezi Mungu anajua kuumbua watu....daaaahhh....hii habari isikie kwa jirani tu.

Hao walio kwenye picha wanaishi maisha ya shida sana kwa sasa, kama ndio mchepuko ndio kabisa familia imeshayumba.
 
Kwema jaman kimeo kiliibiwaa now nipo
Poleee......
Ungekuja humu kutupigisha hata kamchangooo

Anyway, "if people noted and felt ya absence,then u are appriciatted,loved and missed"
 
Poleee......
Ungekuja humu kutupigisha hata kamchangooo

Anyway, "if people noted and felt ya absence,then u are appriciatted,loved and missed"
Nilipitisha utakuwa hukuona but nashukuru wanaonipenda walinisaidia nikaenda dar kuchukua now nitakuwepo sana tu usjali
 
Wakuu kama kuna kitu mmeki-note hapo,huyu alievaa nguo amejidhalilisha zaidi ya yule aliyempiga picha akiwa uchi kwa7bu uso wake mwanga wa flash ya camera umemficha wakati huyu brazamen anaweka mapozi tu.
 
Tu assume jamaa ndo keshamaliza hivyo au ni halftime hiyo?

Au wa Dar huyu?
 
U
Wakuu kama kuna kitu mmeki-note hapo,huyu alievaa nguo amejidhalilisha zaidi ya yule aliyempiga picha akiwa uchi kwa7bu uso wake mwanga wa flash ya camera umemficha wakati huyu brazamen anaweka mapozi tu.
Umeona ee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…