Tuwe makini na vioo

Tuwe makini na vioo

8cd9d6d7d967aad005df5153ca41eb26.jpg
Jamaa yuko safarini anamtumia mkewe picha hii na kumwambia:Nimeshukia kwenye hoteli moja ovyoovyo, niko mwenyewe baby yaani nimekumiss ile mbaya yaani.
(hebu fikiria atakalowaza huyo mke)
 
Jamaa yuko safarini anamtumia mkewe picha hii na kumwambia:Nimeshukia kwenye hoteli moja ovyoovyo, niko mwenyewe baby yaani nimekumiss ile mbaya yaani.
(hebu fikiria atakalowaza huyo mke)
Kwa Maelezo haya hata kama hajaonekana huyo mpigaji Ni lazima uulize nan kakupiga
 
pumbav sasa hapo umejisahau mwenyewe umepost fb alaf familia na mkeo.wameona mbna utaiona dunia inavyokuja kibidubidu
 
Was this intentional!?? Or accidental!??
 
Kwa mbwebwe mwenyew unatuma kweny group LA family 🙂
 
Unamtumia mkeo Bby nimefika Hotel nashukuru Mungu safari ilikuwa nzuri.
 
Back
Top Bottom