marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 988
Ya kawaida tuu kma 25 au 35000 kkoohii pasi inaonekana ni very expensive
daaaaah hiv mkuu... niliishia season 3 ipo ya ngap saivKioo hakidanganyi mama umejipodoa umepodokaaa[emoji445] [emoji445]
Etaata kioo hakidanganyiHalafu hapo mezani kuna picha ya huyo mwanamke akiwa ndani ya joho!!
Mkuuu kama ulipotea humu majukwaani dizaini, kwema!Khaaaaa
Hata mm amenishangaza sana,Hizo ni viatu ama sendo!! Angezivaa ingependeza zaidi
Mkuu mbona kioo naona kipo flat au unazungumzia kitu ganiKimevimbaa
Kusimamisha tena !