MTOTELA
Senior Member
- Apr 21, 2012
- 159
- 196
Siku moja nilienda kunyoa saloon moja maeneo ya sinza baada ya kumaliza kunyoa nikaenda kuosha kichwa kwenye kichumba maalum kwa ndani kidogo kufika huko nikaamua kufanya scrub kabisa hapo ndo kaz ikaanza sasa yule dada akakibana kichwa changu kwenye matiti yake aliyeyaboost mara mikono iingie ndani ya flana yaan ni shida tupu nikaona hapa sio sehemu salama mwisho nikajifanya simu imeiita nikamwambia yule dada anioshe ili nisepe maana huko mbele tungeendelea nisingevumilia.