Tuwe makini na hiz barber shop

Tuwe makini na hiz barber shop

Makosa Yale Yale Na Wewe Umeyarudia Tena! Kweli MAPOPOMA Ni Wengi. Jamani Siyo Saloon Ni Salon Hivi Hamjishtukii Tu? Halafu Wewe Si Ndiyo Huwa UNAJITAPA Kama Siyo KUJISHEBEDUA Humu Kuwa Ni Msomi? Sasa Inakuwaje Umeshindwa Tu Kutofautisha Kati Ya Saloon Aina Ya Gari Na Salon Sehemu Ya Kunyolea Nywele? Kuna Watu Leo Ndiyo Mmenifanya Nizidi KUWADHARAU KUNAKOTUKUKA. Kumbe Ujanja Ni Wa Bure Tu Na UFAHAMU Wa Mambo Madogo Tu Kama Haya Ni " Zero ".

Hivi wewe Gentamycine ni me au ke?
kama ni Ke sina shida na wewe najua tu ndio mlivyo ila kama ni Me something is wrong somewhere
 
Hivi wewe Gentamycine ni me au ke?
kama ni Ke sina shida na wewe najua tu ndio mlivyo ila kama ni Me something is wrong somewhere

Kama KUKUUMBUA Kuwa Umekosea Ktk Kumaanisha Kati Ya Neno " Saloon " Na " Salon " Ni Kosa Basi Acha Tu Niwe Na Hiyo Something Wrong Somewhere Japo Najua Haitakuwa Ktk UBONGO Wangu Wa KUFIKIRI Ambao Nauamini Na UMETUKUKA.
 
Narudi Pale Pale Japo Najua Kuwa Unaona Noma Kwani Kwa ID Kama Yako Sikutegemea Kuwa Ipo Siku Ungekuja KUPOPOMIKA Kiasi Hiki Cha Hata Tu Kushindwa Kujua Tofauti Ya Neno Saloon Na Salon. UMEJICHORESHA Mno Mkuu Halafu Unajiita Intelligent. Ningeshauri Hizi ID's Ziwe Zinaendana Na Uwezo Wa Kufikiri Wa Mtu Na Siyo ID's Za Anticlockwise.

Asiyejua maana haambiwi maana.
 
Bahati zingine zinawatokea watu wasiojua kuzitumia, ningekuwa mimi mbona mechi ingeendelea mpaka tungefungana magoli
 
Haya POPOMA Jingine LILILOTUKUKA Hili Hapa. Hakika Sasa Nimeamini Kuwa Ma Great Thinker JF Tunaanza Kupungua Na Kumeanza Kujazana MANGUMBARU Watupu. Hivi Hujisikii Hata AIBU Kubishana Na Mimi Kuhusiana Na Hilo Neno " Saloon? " Ngoja Niwaachie Wengine WATAKUELIMISHA Kwani Huwa NIKIBISHANA Sana Na MAPOPOMA Napatwa Na KICHEFUCHEFU.

Ha ha ha ha ha haaaaah kama unajisikia kichefuchefu ujue una mimba changa , kazana kula maembe mabichi
 
Makosa Yale Yale Na Wewe Umeyarudia Tena! Kweli MAPOPOMA Ni Wengi. Jamani Siyo Saloon Ni Salon Hivi Hamjishtukii Tu? Halafu Wewe Si Ndiyo Huwa UNAJITAPA Kama Siyo KUJISHEBEDUA Humu Kuwa Ni Msomi? Sasa Inakuwaje Umeshindwa Tu Kutofautisha Kati Ya Saloon Aina Ya Gari Na Salon Sehemu Ya Kunyolea Nywele? Kuna Watu Leo Ndiyo Mmenifanya Nizidi KUWADHARAU KUNAKOTUKUKA. Kumbe Ujanja Ni Wa Bure Tu Na UFAHAMU Wa Mambo Madogo Tu Kama Haya Ni " Zero ".
saloon

noun

1.
a place for the sale and consumption of alcoholic drinks.

Attachments

  • 1451038142410.jpg
    1451038142410.jpg
    36.4 KB · Views: 1,067
  • 1451038157620.jpg
    1451038157620.jpg
    23 KB · Views: 929
hiyo saloon naijua ipo "sinza KUMEKUCHA" dada wa scrub mzuri kama kasingiziwa.
 
saloon

noun

1.
a place for the sale and consumption of alcoholic drinks.

Mkuu Usitake Kushindana Na Wordsmith Kama Mimi UTAUMBUKA Bure! Hiyo Uliyoandika Hapo Ni Maana Ya Pili Kwa Umuhimu Na Nakuomba Angalia Maana Ya Kwanza au KUU Ya Hilo Neno Ktk KAMUSI Yako Yoyote Utaona Ni " Is A Car With Seats For Four Or More People, A Fixed Roof, And A Boot That Is Separated From The Rear Seats ". Jifunze Sana Kuwa Na Varieties Of Dictionary ILI Uweze Kukomaa Kilugha Na Hatimaye Na Wewe Uje Kuwa " Wordsmith ". Na Ndiyo Maana Huwa Nawaambieni Na Hadi Kuwasisitiza Kuwa Tuwe Tu Tunakitumia Hiki Hiki KISWAHILI Chetu Tulichokizoea Na Hiyo Lugha Ya Malkia Tusipende Sana KUISHOBOKEA Lakini Watu Hamsikii Na Hatimaye Kila Kukicha MNAPOPOMIKA Tu.
 
Ha ha ha ha ha haaaaah kama unajisikia kichefuchefu ujue una mimba changa , kazana kula maembe mabichi

Kwakuwa Umeshakuwa Sasa EXPERT Katika KUPACHIKWA MIMBA Sasa Unadhani Kila Mtu Ni MPACHIKWAJI Tu. Wakojolewaji Mnajulikana!
 
Narudi Pale Pale Japo Najua Kuwa Unaona Noma Kwani Kwa ID Kama Yako Sikutegemea Kuwa Ipo Siku Ungekuja KUPOPOMIKA Kiasi Hiki Cha Hata Tu Kushindwa Kujua Tofauti Ya Neno Saloon Na Salon. UMEJICHORESHA Mno Mkuu Halafu Unajiita Intelligent. Ningeshauri Hizi ID's Ziwe Zinaendana Na Uwezo Wa Kufikiri Wa Mtu Na Siyo ID's Za Anticlockwise.
Madam Gentamycine
 
Siku moja nilienda kunyoa saloon moja maeneo ya sinza baada ya kumaliza kunyoa nikaenda kuosha kichwa kwenye kichumba maalum kwa ndani kidogo kufika huko nikaamua kufanya scrub kabisa hapo ndo kaz ikaanza sasa yule dada akakibana kichwa changu kwenye matiti yake aliyeyaboost mara mikono iingie ndani ya flana yaan ni shida tupu nikaona hapa sio sehemu salama mwisho nikajifanya simu imeiita nikamwambia yule dada anioshe ili nisepe maana huko mbele tungeendelea nisingevumilia.
Mi huwa sitaki biashara ya scrab wala kuoshwa. Baada ya vitimbi vya hao madada,mambo yote huwa nafanyia h?me na wife.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom