Tuwe makini na hiz barber shop

Tuwe makini na hiz barber shop

Siyo Saloon Ni Salon. Umeiaibisha KUNAKOTUKUKA ID Yako Na Ikiwezekana Ibadili Ya Sasa Uiite au Ujiite POPOMA Itapendeza Sana Mkuu.

Thx 4 reminding a man,people do mix saloon & salon, from economics pt of view saloon means luxury goods
 
Du!! Wajawazito ndio huwa kama mbogo hata wakiitwa kawaida tu, ilimuradi yu mjamzito aghalabu ni kuropoka tu.

Mapunga Ndiyo Huwa Kama Mbogo Hata Wakiitwa Kawaida Tu, Ilimradi Yu Punga Aghalabu Ni Kuropoka Tu.
 
Mi huwa sitaki biashara ya scrab wala kuoshwa. Baada ya vitimbi vya hao madada,mambo yote huwa nafanyia h?me na wife.

Japo Unajiona Mjanja Lakini Kwa Sisi WANAMUME Wa SHOKA Tunaojua Maana Ya MAHABA Kwa Haya MAELEZO Yako Tu Ni Dhahiri Shahiri Kuwa Tayari UMESHAKAMATIKA Kwa MKEO Na HUPINDUI Kwake. Hii Siyo AKILI Yako Mkuu Bali Unaongozwa Na Vitu Vya Kwa MSISI Na Hapo Bado Utaisoma Namba!
 
GENTAMYCINE Ustaarabu ni kitu ambacho kila mwanadamu mkamilifu na mwenye utimamu wa akili anapaswa kuwa nao.......elimu haina mwisho kwa hiyo vigumu kwa mwanadamu kukumbuka au kujua kila kitu katika mazingira yake......tunachotakiwa kufanya ni kukumbushana na kuelimishana ili kuweka msawazo katika jamii inayotuzunguka......
Kukejeliana, kudharauliana ,ujivuni na maneno machafu bado havimfanyi mtu mwenye elimu kuonekana ameelimika....bali anatakiwa elimu yake tu imfae yeye bali na jamii nzima.....

Tunaishi katika jamii ambayo tumetofautiana katika mambo mengi sana na mitizamo tofauti.....hivyo kuvumiliana inapaswa kuwa ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku......

Unaonekana kuwa ni mtu mwenye uelewa mpana wa mambo mbali mbali lakini ujivuni, dharau na kejeli vinakusogeza katika kundi la WAJINGA.......

BADILIKA NDUGU........DUNIA DUARA....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Usitake Kushindana Na Wordsmith Kama Mimi UTAUMBUKA Bure! Hiyo Uliyoandika Hapo Ni Maana Ya Pili Kwa Umuhimu Na Nakuomba Angalia Maana Ya Kwanza au KUU Ya Hilo Neno Ktk KAMUSI Yako Yoyote Utaona Ni " Is A Car With Seats For Four Or More People, A Fixed Roof, And A Boot That Is Separated From The Rear Seats ". Jifunze Sana Kuwa Na Varieties Of Dictionary ILI Uweze Kukomaa Kilugha Na Hatimaye Na Wewe Uje Kuwa " Wordsmith ". Na Ndiyo Maana Huwa Nawaambieni Na Hadi Kuwasisitiza Kuwa Tuwe Tu Tunakitumia Hiki Hiki KISWAHILI Chetu Tulichokizoea Na Hiyo Lugha Ya Malkia Tusipende Sana KUISHOBOKEA Lakini Watu Hamsikii Na Hatimaye Kila Kukicha MNAPOPOMIKA Tu.

saloon
səˈluːn/
noun


  • 1.
    a public room or building used for a specified purpose.
    • BRITISH
      another term for lounge bar.
    • NORTH AMERICAN
      a place where alcoholic drinks may be bought and drunk.
    • a large public room for use as a lounge on a ship.
    • BRITISH
      a luxurious railway carriage used as a lounge or restaurant or as private accommodation.

  • 2.
    BRITISH
    a car having a closed body and a closed boot separated from the part in which the driver and passengers sit.
    "a four-door saloon"

    Ipi ya pili?



 
Siku moja nilienda kunyoa saloon moja maeneo ya sinza baada ya kumaliza kunyoa nikaenda kuosha kichwa kwenye kichumba maalum kwa ndani kidogo kufika huko nikaamua kufanya scrub kabisa hapo ndo kaz ikaanza sasa yule dada akakibana kichwa changu kwenye matiti yake aliyeyaboost mara mikono iingie ndani ya flana yaan ni shida tupu nikaona hapa sio sehemu salama mwisho nikajifanya simu imeiita nikamwambia yule dada anioshe ili nisepe maana huko mbele tungeendelea nisingevumilia.

Mimi nilibanwa katikati ya mapaja.
 
Siku moja nilienda kunyoa saloon moja maeneo ya sinza baada ya kumaliza kunyoa nikaenda kuosha kichwa kwenye kichumba maalum kwa ndani kidogo kufika huko nikaamua kufanya scrub kabisa hapo ndo kaz ikaanza sasa yule dada akakibana kichwa changu kwenye matiti yake aliyeyaboost mara mikono iingie ndani ya flana yaan ni shida tupu nikaona hapa sio sehemu salama mwisho nikajifanya simu imeiita nikamwambia yule dada anioshe ili nisepe maana huko mbele tungeendelea nisingevumilia.

Hiyo misaluni ya hapo mori bure kabisa,siku tumegombana na dada wa scrub,analazimisha nivue shati nikamwambia mie nafanya scrub tu,kakubali kishingo upande,katikati ya scrub nashangaa anapenyeza mkono kwenye kifua ananiminya kifuani kwa lazima,yaaan inakuwa kama vurugu muda wote wao wanawaza kugegedwa tu
 
mmh isijekuwa vice versa hiyo! dada wa saluni hebu njoo fasta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom