PreGE2025 Tuwe Makini! Mwaka Huu CCM tutazomewa sana!

PreGE2025 Tuwe Makini! Mwaka Huu CCM tutazomewa sana!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,380
Reaction score
2,236
Nilikuwa ninasafiri kwenda Shinyanga, kufika maeneo ya pale Puma Singida, kuna picha imetundikwa kando ya barabara ya Mbunge Elibariki Kingu wa Singida Magharibi akiwa kapiga na Mheshimiwa Rais. Basi abiria tuliokuwemo mle baadhi wakaanza kuzizomea hizo picha kwa disappointments.

Maneno yaliyoongewa humo yakiambatana na hiyo zomea siwezi kuyasema humu kwani nitapigwa ban. Ukweli mchungu kuwa ni kweli CCM wanasemwa kwa ukweli kabisa tumeziba masikio kwa pamba na ukatili umetujaa mno.

Kabla ya Puma tulipita pale Ikungi na maneno yaliyosemwa kuhusu TAL utaona utofauti. Mpaka sasa hatuwezi kamwe kuiua CHADEMA mioyoni mwa watu hata tufanye nini!
 
Nilikuwa ninasafiri kwenda Shinyanga, kufika maeneo ya pale Puma Singida, kuna picha imetundikwa kando ya barabara ya Mbunge Elibariki Kingu wa Singida Magharibi akiwa kapiga na Mheshimiwa Rais. Basi abiria tuliokuwemo mle baadhi wakaanza kuzizomea hizo picha kwa disappointments. Maneno yaliyoongewa humo yakiambatana na hiyo zomea siwezi kuyasema humu kwani nitapigwa ban. Ukweli mchungu kuwa ni kweli CCM wanasemwa kwa ukweli kabisa tumeziba masikio kwa pamba na ukatili umetujaa mno. Kabla ya Puma tulipita pale Ikungi na maneno yaliyosemwa kuhusu TAL utaona utofauti. Mpaka sasa hatuwezi kamwe kuiua CHADEMA mioyoni mwa watu hata tufanye nini!
kuzomea picha ni ulofa wa kiwango cha juu sana gentleman, ni vizuri kufahamu hilo.

halafu hao abiria wazomea picha ni watu wazima au watoto? ulivyowashuhudia unadhani ni wa mikoa gani na gani kwa mfano?🐒
 
changamoto ya afya ya akili ni pamoja na mtu mzima kuzomea picha, ni vizuri kusaidiwa kwa tiba ya kisakolojia mapema kabla mbambo kuharibika zaidi gentleman 🐒
Unasemaje we kada wa cahdema, usiku upo chadema mchana upo ccm , acha ujinga huu ,asema Bwana
 
changamoto ya afya ya akili ni pamoja na mtu mzima kuzomea picha, ni vizuri kusaidiwa kwa tiba ya kisakolojia mapema kabla mbambo kuharibika zaidi gentleman 🐒
changamoto ya afya ya akili ni pamoja na kuwafungulia kesi za uhaini waafrika wenzio, kesi za ugaidi, kuwateka, kuwatesa na kuwaua...utadhani utaishi milele... kisa tu uroho wa madaraka..
 
Wazee wangu kipindi cha nyuma, ukisema chochote kibaya kuhusu CCM, unakuwa adui wao

😂😂

Leo uwaambie habari za ccm, hawatakuelewa, kuna mdogo wake mzee wangu miaka ya 2021 alikula shaba ya kifua kutoka kwa mapolice, ilitosha kabisa kwa wazee wangu kuiona ccm ni adui wa kila mtu,

Wale wanaoipenda ccm ni kwa sababu hawajafikiwa na matendo maovu ya ccm
 
Mwaka 2025 utakumbukwa daima.
Maelfu kwa maelfu wanakikimbia chama baada tu ya Heche na Lissu kuwa viongozi. hili halijawahi kutokea katika uhai wa chadema.
Chama kinaelekea KUZIMU

Quote
 
changamoto ya afya ya akili ni pamoja na mtu mzima kuzomea picha, ni vizuri kusaidiwa kwa tiba ya kisakolojia mapema kabla mbambo kuharibika zaidi gentleman 🐒
Changamoto nyingine ya afya ya akili ni pamoja na kuukataa ukweli,nyeusi kuiita nyeupe.!
 
Mkuu unaweza kusaidia kutaja namba ya basi, tarehe na muda mliokuwa hapo kwenye kituo cha mafuta😏
 
Mwaka 2025 utakumbukwa daima.
Maelfu kwa maelfu wanakikimbia chama baada tu ya Heche na Lissu kuwa viongozi. hili halijawahi kutokea katika uhai wa chadema.
Chama kinaelekea KUZIMU

Quote
Si ndiyo vizuri amma? Akili za kawaida tu unafikiri hilo linaukweli?
 
Wazee wangu kipindi cha nyuma, ukisema chochote kibaya kuhusu CCM, unakuwa adui wao

😂😂

Leo uwaambie habari za ccm, hawatakuelewa, kuna mdogo wake mzee wangu miaka ya 2021 alikula shaba ya kifua kutoka kwa mapolice, ilitosha kabisa kwa wazee wangu kuiona ccm ni adui wa kila mtu,

Wale wanaoipenda ccm ni kwa sababu hawajafikiwa na matendo maovu ya ccm
Kaa hyo hata kama mdogo wako jambazi muangaliwe tu mnaib na kutoroka hakuna police anaua tu watz tungeshamalizika
 
changamoto ya afya ya akili ni pamoja na mtu mzima kuzomea picha, ni vizuri kusaidiwa kwa tiba ya kisakolojia mapema kabla mbambo kuharibika zaidi gentleman 🐒
Ugonjwa wa akili ambao ni profound mental disorder ni kumfunga gerezani mtu aliyechoma picha, na aliposhaniniwa kumteka na kumdhulumu uhai wake!
 
Ugonjwa wa akili ambao ni profound mental disorder ni kumfunga gerezani mtu aliyechoma picha, na aliposhaniniwa kumteka na kumdhulumu uhai wake!
kwahiyo gentleman,
unakaa chumbani kwako unaanza kuzomea picha?🤣
 
Back
Top Bottom