Tuwe makini barabarani

Tuwe makini barabarani

Lighton

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
1,902
Reaction score
3,096
Wakuu ambao bado mpo macho mpaka muda huu nawasalimu, poleni na majukumu.

Kama kichwa habari kinavyojieleza, ni rai natoa Kwa madereva wote wa magari binafsi,magari ya abiria,bajaji na pikipiki. Tuwe makini, tuache papara, tufate taratibu na Sheria za barabarani, hasa bodaboda na bajaji muwe makini barabarani.

Unakuta mtu uko zako unadrive na speed yako ya kawaida, mtu anakuovertake halafu anakuja kukaa mbele then anafunga brake ya ghafla jamani jamani. Hapa Sasa hivi nimetoka kumfikisha rafiki yangu wa utotoni hospital amepata ajali ya pikipiki.

Nilikuwa natoka kwenye mishemishe zangu nipo, njiani naangalia Kwa mbele nakuta bodaboda nyingi zimepaki, nikasema ngoja nishuke nikaone ndo namkuta rafiki yangu wa utotoni amelala hapo chini anaugulia maumivu, nimempakia nimemfikisha hospital mim nimekuja nyumbani.

Tuwe makini, tupunguze ajali.
 
Sawa mkuu, tumeskia... Mpe pole rafiki yako wa utotoni... vipi, yeye ndio aliovertake au aliovertakiwa?
 
Ukiona una stress ambazo hauzimudu, usi-drive. Barabarani pana taka umakini sana, papara zimeleta ajari nyingi.

Asante kwa kuniweka aware, poleni
 
Back
Top Bottom